chadisimon
Member
- Aug 9, 2015
- 83
- 17
Usiropoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...
Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..
Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...
Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,
Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..
Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..
Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.
The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..
DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
Hahahah...pamoja na hizo mbwembwe hamjui Rais wa LibyaMtalaaum Wa Kukalili Na Kuongopa, Utasikia Ziwa Tanganyika Lina Samaki Wenye Mimba Tilion Tisa Sabini Na Nne Elfu Mianane Sitini Na Mbili, Kanzania Inakondoo Milioni Kumi Na Saba Na Laki Mbili Mianne Sabini, Kuku, Mbuzi, Ng'ombe, Vipepeo. Watu Sisimizi, Watu Pwapwapwapwapwa,
Ni sisi tunachagua sio Mungu. Hataenda kituoni tarehe 25/10!Kama huyu unadhani ni chaguo la Mungu yupi?
![]()
Tumia haki yako ya kikatiba ifikapo tarehe 25 Oktoba kwa kupiga kura, kura yako kwa Magufuli ni ushindi wa Tanzania nzima kwa maendeleo endelevu. Huo ni ushauri wangu kwa mtanzania mpenda maendeleo. Ndiyo maana yeye anasema atafanya kazi na watanzania wote na kila mara anasisitiza kuwa atafanya kazi kwa moyo wake wote kuwatumikia watanzania na hatawaangusha.
KURA YAKO NI MUHIMU, MPIGIE KURA NA MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
hapakazi tu hakuna wakushindana na Magufuli....