Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Zijue sifa ambazo zinambega mgombea Magufuli na Kumbwaga Lowasa.

Magufuli: Idadi kubwa ya wanawake nchi nzima mjini na vijijini kuwa na hamasa ya kumchagua wakati Lowasa: Idadi ya wanawake wanaojitokeza ni wachache ambao wapo mjini wakati vijijini hamasa ni ndogo.

Magufuli: Sifa binafsi zinambeba mgombea huyu, Uadilifu, uchapakazi, Msimamo imara katika kufanya maamuzi wakati Lowasa: Mtu wa kukata tamaa haraka na anapenda kujilimbikizia mali.

Magufuli: Maeneo yote na mengi ya nchi nzima kuwa na mwamko wa kukiunga mkono chama chake wakati Lowasa: Siyo maeneo yote yanamuunga mkono na hata chama chama chake.

Vipi kwa hali hiyo, mizani ya ushindi imeegea kwa Magufuli kuonesha kuwa anapendwa zaidi, anaushawishi mkubwa zaidi na ananguvu zaidi ya kuchapa kazi wakati Lowasa mizani yake ni nyepesi kiasi cha mizania yake kuonesha mpaka sasa bado yupo kwenye safari ya Matumaini wakati mpinzani wake yupo kwenye safarinya uhakika.
 
Yawezekana pia wanamshangaa kuwa mbona hajielewi akajiondoa kwenye kinyang'anyiro ambacho tiyari kisha shindwa?? Ataliongoza taifa hili kwa sera ipi? Hiyo ya kuamuru hata wamama wazee ka Rwakatare ati naye apige push up kwenye stage? Jamani oneni huruma huu nasema ni udhalilishaji
 
Tumia haki yako ya kikatiba ifikapo tarehe 25 Oktoba kwa kupiga kura, kura yako kwa Magufuli ni ushindi wa Tanzania nzima kwa maendeleo endelevu. Huo ni ushauri wangu kwa mtanzania mpenda maendeleo. Ndiyo maana yeye anasema atafanya kazi na watanzania wote na kila mara anasisitiza kuwa atafanya kazi kwa moyo wake wote kuwatumikia watanzania na hatawaangusha.

KURA YAKO NI MUHIMU, MPIGIE KURA NA MCHAGUE MAGUFULI KWA MAENDELEO YA TANZANIA.

Lowassa
 
Zijue sifa ambazo zinambega mgombea Magufuli na Kumbwaga Lowasa.

Magufuli: Idadi kubwa ya wanawake nchi nzima mjini na vijijini kuwa na hamasa ya kumchagua wakati Lowasa: Idadi ya wanawake wanaojitokeza ni wachache ambao wapo mjini wakati vijijini hamasa ni ndogo.

Magufuli: Sifa binafsi zinambeba mgombea huyu, Uadilifu, uchapakazi, Msimamo imara katika kufanya maamuzi wakati Lowasa: Mtu wa kukata tamaa haraka na anapenda kujilimbikizia mali.

Magufuli: Maeneo yote na mengi ya nchi nzima kuwa na mwamko wa kukiunga mkono chama chake wakati Lowasa: Siyo maeneo yote yanamuunga mkono na hata chama chama chake.

Vipi kwa hali hiyo, mizani ya ushindi imeegea kwa Magufuli kuonesha kuwa anapendwa zaidi, anaushawishi mkubwa zaidi na ananguvu zaidi ya kuchapa kazi wakati Lowasa mizani yake ni nyepesi kiasi cha mizania yake kuonesha mpaka sasa bado yupo kwenye safari ya Matumaini wakati mpinzani wake yupo kwenye safarinya uhakika.

kamdanganye demu wako hzo sifa za kijinga.ni kwamba hutaamini baada ya tareh 25atakavyogaragazwa hyo kioara wako
magufuli hana hata sifa moja ya urais labda upiga debe
 
Chagua lowassa watz ccm ni ile ile na watu ni wale wale

Wewe inaonekana ni mgeni nchi hii, Lowasa hujui ni CCM? Labda cdm wamrudishe mzalendo wa kweli wa cdm Silaa 2020 ndiyo watakuwa na nguvu nzuri sana. Kwa sasa mmmmmmmmmhhhhh!
 
Hata kule Mivinjeni Kurasini wanamtaja sana Magufuli kwa jinsi alivyovunja nyumba zao na kugoma kuwalipa fidia tofauti na sheria ilivyokuwa inasema.
 
Labda kama angekuwa UKAWA. Kura yangu itaenda kwa Lowassa kwa kuichukia CCM
 
kamdanganye demu wako hzo sifa za kijinga.ni kwamba hutaamini baada ya tareh 25atakavyogaragazwa hyo kioara wako magufuli hana hata sifa moja ya urais labda upiga debe

Umejaa upepo wa nini wewe MCHUMIPESA? Unaweza kuwa ndiyo wewe, unataka kunisaliti? Usiwe na wasiwasi maisha yako yatakuwa murua tu hata ukijaa upepo, Magufuli hana tabia ya ukanda nachojua ni Tanzania. Kwa hiyo anakutambua kuwa atakutumikia na wewe hata kama umejaa upepo. Pole MCHUMIPESA.
 
Hata dar ; bodaboda wamebadilika mtaani;

habari ccm
 
Wananchi katika jimbo la monduli wamemkubali magufuli kwa kiasi kikubwa hali iliyopelekea chama cha mapinduzi kujihakikishia ushindi wa asilimia 100%
 
ni kweli, bas kumbe ndo mana ukawa wanajihami kwa kuamua kusambaza mabendera yao kila sehemu kwa kuyagawa bure, na kuweka watu kwenye wauza magazeti, na vijiwe vya kahawa
 
Back
Top Bottom