Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Zijue sifa ambazo zinambega mgombea Magufuli na Kumbwaga Lowasa.
Magufuli: Idadi kubwa ya wanawake nchi nzima mjini na vijijini kuwa na hamasa ya kumchagua wakati Lowasa: Idadi ya wanawake wanaojitokeza ni wachache ambao wapo mjini wakati vijijini hamasa ni ndogo.
Magufuli: Sifa binafsi zinambeba mgombea huyu, Uadilifu, uchapakazi, Msimamo imara katika kufanya maamuzi wakati Lowasa: Mtu wa kukata tamaa haraka na anapenda kujilimbikizia mali.
Magufuli: Maeneo yote na mengi ya nchi nzima kuwa na mwamko wa kukiunga mkono chama chake wakati Lowasa: Siyo maeneo yote yanamuunga mkono na hata chama chama chake.
Vipi kwa hali hiyo, mizani ya ushindi imeegea kwa Magufuli kuonesha kuwa anapendwa zaidi, anaushawishi mkubwa zaidi na ananguvu zaidi ya kuchapa kazi wakati Lowasa mizani yake ni nyepesi kiasi cha mizania yake kuonesha mpaka sasa bado yupo kwenye safari ya Matumaini wakati mpinzani wake yupo kwenye safarinya uhakika.