Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Ndugu Watanzania kwa moyo mkunjufu na wa upendo wa dhati kwa Taifa letu kwa kizazi cha sasa na kizazi kijacho mnatakiwa kumchagua Dr Magufuli kuwa Rais wa awamu ya Tano wa Tanzania kwa ajili ya Mabadiliko ya kweli na Vitendo.
 
Kwa maoni ya watu wengi kabla na hata baada ya NEC ya CCM, watanzania tulihitaji na tunamuhitaji zaidi rais kama Dr Magufuli. Hata wapinzani wote wanajua, mpaka sasa wameshagaragazwa chali ile mbaya.Kwa ufupi

"WATANZANIA TUNAMUHITAJI ZAIDI DR. MAGUFULI ZAIDI YA YEYE ANAVYOTUHITAJI"


  1. Ndiye amekuwa akikemea rushwa na ufisadi mpaka sasa
  2. Ndiye anayesema watu lazima wajitume ili kuleta maendeleo

Mungu akulinde na kukubariki Dr Magufuli!

Shetani ukawa ushindwe na kulegea!
 

mavuvuzela ya lumumba yashaanza kupulizwa
 
Mungu keshasikia maombi ya wenye haki. Magufuli njia nyeupe ikulu yako baba.
 
Watu kama ninyi ndio wenye akili sio hawa vijana wa mihemko. Magufuli is the right choice at the right time. Kura zetu ni kwa Magufuli.
 
[TABLE="width: 128"]
[TR]
[TD="width: 20, bgcolor: transparent"]M:[/TD]
[TD="width: 151, bgcolor: transparent"]Mungu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]A:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ametuletea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]G:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Grudumu la maendeleo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]U:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Uongozi bora[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]F:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Falsafa yakinifu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]L:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Lulu kwa watanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]I:[/TD]
[TD="bgcolor: transparent"]Ikulu ni Yake
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mtanzania mpe kura yako
 
Wewe mbona amechange strategy,angeendelea kama alivyoanza CCM mwaka huu cha moto mtakiona
 
Kweli uko juu Mkuu. Nimekukubali unatosha Magufuli Mpango mzima.
 

Hicho ni Kipaji, kama hujatambua cha kwako kacheze hata mziki
 

Umesahau kabisa kuhusu party supremacy. Dr Magufuli hana chembe ya nguvu nje ya CCM. Ni kama samaki tu; maji ndio CCM na magufuli ndio samaki.

Usisahau kwamba Magufuli kapitishwa kugombea uraisi bila kufuata taratibu za chama. Angekuwa mwadilifu, angeanza kuugomea ufisadi wa mchakato wa kumpitisha yeye mwenyewe.

Kapitishwa kifisadi; ataweza vipi kuupiga vita ufisadi?
 
Kuna watu wameamua kumnenepesha ng'ombe siku ya mnada,yaani yule ambaye tulimpinga kwa nguvu zetu zote kwa namna yoyote hafai ghaflaamegeuzwa kuwa ngo'mbe mnono hii ni kuonyesha kwa namna gani ukikata tamaaunavyo weza kuburuzwa hata kwa mambo ambayo kwa akili ya kawaida usingeyakubali.


Kuna shida ya uchache wa taarifa na kutofahamu historiaya viongozi wetu (hatusomi vitabu vya Mwalimu na wasomi na wachambuzimbalimbali wa sayansi ya siasa na uchumi), CCM ni chama ambacho sikuwa shabikiwake, kwanza kwa sababu walilindana na kuogopana sana, kiasi kwamba kunawatu walikuwa ni Miungu watu wakiamua jambo ndio litakuwa hata kama halinamaslahi kwa taifa, na hii ni baada ya kupuuza maadili.


Mfano Chenge, Kingunge, EL, Rostam na wengine, kiasikwamba ilikuwa kuwagusa ni kujitafutia mabaya, utashangaa kwanini EL mpakaanajiuzuru uPM lakini alikuwa na nguvu kuliko hata mkuu wa kaya katika serikalina chama? EL alikuwa mastermind ambaye wajumbe NEC na wenyeviti wa mikoa wengialiwakamata kwa ukwasi wake, na ndio kitu pekee alicho kifanya alipo kuwa njeya majukumu ya serikali (alikuwa na muda wa kutosha kujenga mizizi kila konafor seven years, wakati wenzie wanapambana na changamoto za uongozi yeyeanajisimika kwa michango kwenye taasisi). Kitu kilichompa uhakika kwa kila alilokusudiakulifanya.


Sina shaka hata CDM wasingeweza kumkwepa kwa maslahiambayo wamepata au watakayo pata. Kwa kifupi anaweza kufanya chochote atakachoisipokuwa kuwa Rais bila kupigiwa kura, hali yake kiafya kwa upande mmojaimeongeza sana kupewa sympathy na watu wengi ambao kama nilivyo tangulia kusemahawakuwa na taarifa za kutosha hivyo taarifa yoyote inayotoka sasa ikiambata namashambulizi ya kisiasa, afya na chuki vinamzidishia sympathy credit (Bila watukufikiria athari zijazo kwa kisingizio cha mabadiliko na mageuzi) na pilikuwapa wapambe wake wakiwemo CDM nafuu ya kumsafisha pamoja na kuwa wanamfahamutoka akiwa CCM ni fisadi asiyeshitakika.

(Nani atamshitakiwakati wanakula nae na alijitoa sadaka ili kunusuru serikali yake) Pamoja nahayo uzuri wa ED ni mchapa kazi na mfuatiliaji ingawa ana udhaifu wa kutopendakukosolewa hata kama kunasababu za msingi kufanya hivyo akiamua ameamua.


Kwangu mimi binafsi naweza kusema Dr. JPM kwa haiba yanje ana mapungufu yake pia, nimewaweka wagombea wengine pembeni kutokana naupepo ulivyo ingawa siwadharau. Mapungufu ya Dr. JPM ni mtu anaeogopa kukoseakwa hivyo alishindwa ku delegate power kwa subordinate, nimtu mwenye kufanya maamuzikwa haraka hivyo kuonekana anakurupuka hata kama yuko sahihi, pia ni mkali sanakwenye kazi na anapenda kutumia mamlaka yake. Upande wa pili ni mfuatiliaji na mtiikwa wote anaweza kujishusha kwa nyakati fulani.


Hitimisho nikiweka watu hawa wawili kwa kuzingatia sifaza kila mmoja imani yangu kwa ambaye angalau atakuwa na matokeo chanya nampacredit Dr. JPM, na kwa nini sio EL kuna makando kando mengi sana kwenye ulemuda wake wa miaka saba, ambayo yana harufu kibiashara kuliko maslahi yawananchi. Ni heri wapinzani niwape muda wa kujipanga kwenye karata zao zamwisho kuliko kuwa waviziaji na wasahaulifu wa walicho kisimamia.
 

CCM nmeamini kinajua kucheza na mind za watu. kitendo cha kumpitsha MAGUFULI hapo hata mm kilinifanya nianze kuwakubali. bila hivo duuu ingekuwa majanga maana lowasa kwa KGM hana sera
 
kwa moyo mweupe bila hata kinyongo mm na mke wangu plus shemeji zangu kura kwa MAGUFULI but ubunge ........no
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…