Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

kamdanganye demu wako hzo sifa za kijinga.ni kwamba hutaamini baada ya tareh 25atakavyogaragazwa hyo kioara wako magufuli hana hata sifa moja ya urais labda upiga debe

Umejaa upepo wa nini wewe MCHUMIPESA? Unaweza kuwa ndiyo wewe, unataka kunisaliti? Usiwe na wasiwasi maisha yako yatakuwa murua tu hata ukijaa upepo, Magufuli hana tabia ya ukanda nachojua ni Tanzania. Kwa hiyo anakutambua kuwa atakutumikia na wewe hata kama umejaa upepo. Pole MCHUMIPESA.
 

unatafuta promo ili tujadili ka thread kako eeeh???

ni kwamba we humfahamu magufuli niulize mimi ambae n mkazi wa chato jimboni kwako

mafuguli ni.
1.dikteta

2.hashauriki

3.ni MTU wa kulipa visas waulize wadogo

4.anajiona wa maana kuliko wengne yaaan ana madharau kibao aliwaambia kigambon wapge mbizi

5.ana ubaguzi ulizia barabara ya biharamulo ilipindshiwa WAP na nguzo za umeme zilipindshiwa wap
 
hahahahaha yesu alisema nabii hakubaliki kwao, lazima mzee apate presha mwaka huu
 
Ana viashiria vya udikteta.
Anatoka katika chama chenye ufisadi wa kimtandao.
Anatoka katika chama kilichokataa katiba ta wananchi.
Ana historia ya upendeleo.
Hana upeo na ubunifu kama kiongozi.
Ana hulka ya kukurupuka.
Lugha ni tatizo.



simpi kura mtu ambaye hata kukagua gwaride hatoweza
 
Magufuli hatakua na jipya watanzania amkane mnazidiii kudidimia acheni uendawazimu
 

Ni kawaida yenu mkiona mmeambiwa ukweli kwa sababu ninyi ndiyo wenyewe maadmni, hamwezi kukubali mnaamua kutoa au kuunaganisha nyuzi mnavyotaka wenyewe. Sawa ila tr. 25/10/2015 Watanzania wanasema umoja ni ushindi

 

Tusidanganye, magufili sio ishu mwaka huu, tunajua akipata magufuli, yupo kwenye mfumo uleule ma mwendo na kasi na tabia ileile. Kwani wote walio kua kwenye serekari ya kikwete wako wapi na watakua wapi? Wapo humohumo na watafanya kazi nahuyuhuyu.
Kwahio mabadiliko hamna. Ahadi zilizotolea na JK 2005 na 2010, ndizo hizi tena anazitoa magufili na kuaminisha wananchi eti kwa yeye zitatekelezeka. Dah! Niungo dhahili kwamba ccm inataka tuu kubaki madarakani kuchelewesha maendeleo.
Wabunge wa NDIOOOOOO! Ndo walewale walio minya katiba ya warioba kwahio kaba yao ndo itapitishwa. Dhamira ya dhati ccm hawana ya kuwakomboa watanzania kwenye hii hali ya umasikini wakutupwa. Vote for Lowassa awe Rais wetu tusonge mbele.
 

Katuvunjia nyumba ta bibi yetu kaishi pale miaka 78 hatuta msahau huyu dude na mungu amlaani.



swissme
 

Ulitaka aitwe na nani? Muite wewe na roho yako isiyo na shukrani.
 
Tarehe 25 tumpigie Magufuli mtu mkweli na mchapa kazi. Tuikatalie mbali UKAWA, ni wababaishaji, wahuni na vigeugeu mwenye akili anaona wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…