watanzania hatuna budi kumuunga mkono mh magufuli siku ya uchaguzi kwa kumpigia kura zetu za kutosha aingie ikulu, huu ndo utakuwa mwanzo wa vilio na kusaga meno kwa mafisadi, na wazembe wote nchini kwetu. ikumbukwe kuwa watanzania wengi sasa ni wazembe na wanafanya kazi kwa mazoea, hivyo kwa faida ya wote, tunamuunga mkono na tunampigia kura .
salute kwako mh magufuli rais wangu wa jamhuri ya muungano wa tanzania bado tu kuapishwa.