Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Hakuna Mtanzania atakayepigia pigia kura UKAWA.Labda asiyjielewa
 
Nakukumbuka magufuri ; ulipo nyanganya gari watu waliozifanya zao gari za serikali;
kwa kuweka plate number za magari ya private badala ya su na sm.

Na kuanza kutanua nayo mitaani;

wengine wlikuwa wanabebea manyasi; zoezi lako lilikomboa magari 600; yalirudi serikalini na ukayapa number za serikali.

Ukiwa raisi ; endelea kuj
 
rais kikwete anastaafu na anatuachia magufuli kiongozi makini sana.
Dr magufuli ambaye ni zao la wakulima na wafugaji
dr magufuri ambaye ni chimbuko la uadilifu
dr magufuli ambaye ameamua kwa dhati ya moyo wake kupambana na mafisadi na wezi wa mali za umma
dr magufuli mtu wa watu mtu asiye penda maslahi ya wengi yapotee kwa faida ya wachache
dr magufuli mfuatiliaji na muadilifu asiye tiliwa shaka katika kazi zake
dr magufuli waziri aliyevunja rekodi kwa kuongoza wizara ngumu la akafanikiwa bila kashfa yeyote ya rushwa au ufisadi
huyu ndiye magufuli rais wa awmu ya tano ya jamhuri ya muungano wa tanzania
 
Kwa uzalendo wadr. John pombe magufuli
kwa uadilifu wa dr. John pombe magufuli
kwa wajibikaji wadr. John pombe magufuli
kwa umakini wadr. Jojn pombe magufuli
sasa nina imani kubwa kuiona tanzania mpya
 
Wanatuletea MDOLI upambane na TINGATINGA kisa VIROBA NA UNYUMBU!!! HAPA KAZI TU
 
Anaposema wenye viwanda vya serikali; sisi ni kupeleka list
yeye kutoa order '
jeshi kukamata au kutaifisha

kwa walioviozi na kufanya magodown
 
watanzania hatuna budi kumuunga mkono mh magufuli siku ya uchaguzi kwa kumpigia kura zetu za kutosha aingie ikulu, huu ndo utakuwa mwanzo wa vilio na kusaga meno kwa mafisadi, na wazembe wote nchini kwetu. ikumbukwe kuwa watanzania wengi sasa ni wazembe na wanafanya kazi kwa mazoea, hivyo kwa faida ya wote, tunamuunga mkono na tunampigia kura .


salute kwako mh magufuli rais wangu wa jamhuri ya muungano wa tanzania bado tu kuapishwa.
 
Back
Top Bottom