Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania


Hizo zamu za urais anayepanga ni nani? Unadhani makundi hayo uliyoyataja pekee ndo yanatakiwa kutoa rais? Vipi kuhusu makundi mengine kama wanasheria, wahandisi, madakitari na makundi mengine mengi ambayo kwa sasa siwezi nikamaliza kwa kuyataja hapa lakini labda kundi jingine muhimu ni la watu wasio soma.

Kundi hilo la mwisho, yaani la watu wasiosoma, siyo kundi la kubeza kwa sababu hata katika jamii tunamoishi wapo watu ambao hawakusoma lakini wamefanikiwa saana kimaisha. Mfano mmoja wa haraka ni aliyekuwa rais wa Brazil, Da Silva, hakusoma lakini katika kipindi chake cha utawala ndipo Brazil ilifanya mapinduzi makubwa saana ya kiuchumi.

Uongozi ni karama, na wala kiongozi mzuri hatokani na elimu yake, bali uongozi ni kipaji kutoka kwa Mungu mwenyewe. Hatuhitaji mwanasayansi tunahitaji kiongozi.
 
Eti mwanasayansi.....nina wasiwasi na mtoa mada kama shida yako ni raisi mwalimu, au raisi mwalimu wa sayansi. Huenda nawewe ukawa mwalimu wa sayansi
 
Kwa maoni yangu nadhani tunahitaji rais mwenye ujasi ktk kusimamia rasilimali zetu, muwajibikaji na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magum kwa wajanja wachache wenye mpango wa kulihujum taifa letu. Kitaaluma anaweza kua na fani yoyote ila awe na sifa ya uwajibikaji. mf: prof Muhongo taaluma yke iliendana na nafasi aliyopewa lakini nini alicho kifanya
 

mi nakumbuka kuhusu nyumba za serikali tu
 
Mafusadi walichukia na sasa wanahaha lakini tutawachapa tu
 
na mungu atunusuru. tukipata rais msanii itakua ulaghai na upigaji dili tu
 

magufuli is a timing bomb
 
Ilikuwaje rais mchumi ndio kaharibu uchumi kuliko wenzake waliomtangulia?
 
magufuli is a timing bomb

Nacheka sana nikisikia jamaa hana makundi. Hivi hayo mabilioni yanayogawanywa huko kwa kampeni yanatoka wapi. Mimi wala siogopi ila najua GOLI LA MKONO mtachukua nchi. na hizo mbinu chafu zenu haaaaa nchi yake. Namuonea uruma maana ana miaka 3 ya kulipa izo pesa alizotumia kwenye fiesta zake. Ukielewa haya ndio utajua jamaa ni muda tuu unasubiriwa muone ilo balaa lake. Na safari hii ukinifata kwa msaada wa ugonjwa nakupeleka hospitali nakuambia subiria huduma,.... GOD HELP US ALL....
 
ukiangalia na matatizo yaloyopo nchini kwetu, rushwa, na uadilifu na ukapima katika candidates wote, magufuli ankuwa juu ya wengine. tunachohitaji ni kumpata rais atakayeyatatua hayo matatizo. magufuli hana kashfa za rushwa na anachukia rushwa, magufuli ni muadilifu na anapenda uadilifu ndiyo maana alidirikikufukuza wazembe wote na wanaofanya kazi kwa mazoea. generaly magufuli anawapiku wagombea urais wote.


anastahili urais based on reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…