Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.

Kwanza Tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI.

Pili dunia ya sasa ni ya sayansi na teknolojia hivyo tunahitaji rais mwenye hiyo taaluma ya kisayansi ili aweze kuhakikisha kuwa taaluma yake inakuwa katika viwango vya kimataifa na kusababisha maendeleo yanayo tokana na sayansi.

Tatu tangu nchi hii uimbwe haijawahi kuwa na rais mwanasayansi
Rais wa awmu ya kwanza alikuwa ni mwalimu
Rais wa awamu ya pili alikuwa ni mwalimu
Rais wa awamu ya tatu alikuwa ni mwahahabari
Rais wa awamu ya nne ni mchumi.

Rais wa awamu ya tano tunamtaka rais ambaye ni mwanasayansi, sasa ni zamu ya mwanasayansi
maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa Tanzania kwa viwango vya juu zaidi yataletwa na rais mwanasayansi na siyo muugizaji au mwana sanaa aliyo bobea katika taaluma fani yake.

Hizo zamu za urais anayepanga ni nani? Unadhani makundi hayo uliyoyataja pekee ndo yanatakiwa kutoa rais? Vipi kuhusu makundi mengine kama wanasheria, wahandisi, madakitari na makundi mengine mengi ambayo kwa sasa siwezi nikamaliza kwa kuyataja hapa lakini labda kundi jingine muhimu ni la watu wasio soma.

Kundi hilo la mwisho, yaani la watu wasiosoma, siyo kundi la kubeza kwa sababu hata katika jamii tunamoishi wapo watu ambao hawakusoma lakini wamefanikiwa saana kimaisha. Mfano mmoja wa haraka ni aliyekuwa rais wa Brazil, Da Silva, hakusoma lakini katika kipindi chake cha utawala ndipo Brazil ilifanya mapinduzi makubwa saana ya kiuchumi.

Uongozi ni karama, na wala kiongozi mzuri hatokani na elimu yake, bali uongozi ni kipaji kutoka kwa Mungu mwenyewe. Hatuhitaji mwanasayansi tunahitaji kiongozi.
 
Eti mwanasayansi.....nina wasiwasi na mtoa mada kama shida yako ni raisi mwalimu, au raisi mwalimu wa sayansi. Huenda nawewe ukawa mwalimu wa sayansi
 
Kwa maoni yangu nadhani tunahitaji rais mwenye ujasi ktk kusimamia rasilimali zetu, muwajibikaji na mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magum kwa wajanja wachache wenye mpango wa kulihujum taifa letu. Kitaaluma anaweza kua na fani yoyote ila awe na sifa ya uwajibikaji. mf: prof Muhongo taaluma yke iliendana na nafasi aliyopewa lakini nini alicho kifanya
 
Nakukumbuka magufuri ; ulipo nyanganya gari watu waliozifanya zao gari za serikali;
kwa kuweka plate number za magari ya private badala ya su na sm.

Na kuanza kutanua nayo mitaani;

wengine wlikuwa wanabebea manyasi; zoezi lako lilikomboa magari 600; yalirudi serikalini na ukayapa number za serikali.

Ukiwa raisi ; endelea kuj

mi nakumbuka kuhusu nyumba za serikali tu
 
Mafusadi walichukia na sasa wanahaha lakini tutawachapa tu
 
Kwa sasa tulipofikia kama taifa tunahitaji rais mwanasayansi,tunahitaji rais mwanasayansi kwa sababu zifuatazo.

Kwanza Tanzania tunahitaji kukua kwa yanja ya kisayansi na ili kuendelea katika sekta za viwanda na teknolojia TUNAHITAJI MTUMFUATILIJI MWENYE TAALUMA YA KISAYANSI.

Pili dunia ya sasa ni ya sayansi na teknolojia hivyo tunahitaji rais mwenye hiyo taaluma ya kisayansi ili aweze kuhakikisha kuwa taaluma yake inakuwa katika viwango vya kimataifa na kusababisha maendeleo yanayo tokana na sayansi.

Tatu tangu nchi hii uimbwe haijawahi kuwa na rais mwanasayansi
Rais wa awmu ya kwanza alikuwa ni mwalimu
Rais wa awamu ya pili alikuwa ni mwalimu
Rais wa awamu ya tatu alikuwa ni mwahahabari
Rais wa awamu ya nne ni mchumi.

Rais wa awamu ya tano tunamtaka rais ambaye ni mwanasayansi, sasa ni zamu ya mwanasayansi
maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa Tanzania kwa viwango vya juu zaidi yataletwa na rais mwanasayansi na siyo muugizaji au mwana sanaa aliyo bobea katika taaluma fani yake.
na mungu atunusuru. tukipata rais msanii itakua ulaghai na upigaji dili tu
 
ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
Ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...

Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..

Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...

Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,ana political torelance,

dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..

Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya magufuli dhidi ya taifa hili..

Ameona anafaa kabsa kuwaletea watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,mungu ameamua kumlipa kwa wema dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.

The president..its god..let us all stand together and support this good wish from our almighty allah..!!regardless of our ideologies & parties..

Dr. Magufuli the best choice of tanzanians.

magufuli is a timing bomb
 
Ilikuwaje rais mchumi ndio kaharibu uchumi kuliko wenzake waliomtangulia?
 
magufuli is a timing bomb

Nacheka sana nikisikia jamaa hana makundi. Hivi hayo mabilioni yanayogawanywa huko kwa kampeni yanatoka wapi. Mimi wala siogopi ila najua GOLI LA MKONO mtachukua nchi. na hizo mbinu chafu zenu haaaaa nchi yake. Namuonea uruma maana ana miaka 3 ya kulipa izo pesa alizotumia kwenye fiesta zake. Ukielewa haya ndio utajua jamaa ni muda tuu unasubiriwa muone ilo balaa lake. Na safari hii ukinifata kwa msaada wa ugonjwa nakupeleka hospitali nakuambia subiria huduma,.... GOD HELP US ALL....
 
ukiangalia na matatizo yaloyopo nchini kwetu, rushwa, na uadilifu na ukapima katika candidates wote, magufuli ankuwa juu ya wengine. tunachohitaji ni kumpata rais atakayeyatatua hayo matatizo. magufuli hana kashfa za rushwa na anachukia rushwa, magufuli ni muadilifu na anapenda uadilifu ndiyo maana alidirikikufukuza wazembe wote na wanaofanya kazi kwa mazoea. generaly magufuli anawapiku wagombea urais wote.

anastahili urais based on reality
 
Back
Top Bottom