Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Nyerere + Mkapa = Magufuli. yaani mafisadi, wezi, na majizi muanze kuihama nchi mapema kabla JPM hajaapishwa
 
Maguli anasubili kuapishwa tu,wanainchi walishamchagua siku nyingi.
 
Magufuli ndiye haswahaswa,sera na mikakati inayotekelezeka.
 
Akianza kulpa fadhila kwa alyemuweka,itakua kero kwa nch, mtaskia mtt wa .......... Kawekwa PM.
 
Magufuli hana makundi ambayo mtu unaweza sema atajivunia, ni mtu wa watu hana makuu, kila leo yupo karibu na jamii.
 
Ni MTU MWENYE KUJITUMA , BIDII KATIKA KAZI YAKE NA ASIYE NA TAMAA YA MALI WALA MADARAKA
 
Toa sababu ya kumchagua Lowassa., mimi natoa za kumchagua Magufuli.

Sababu za kumchagua MAGUFULI.
1. Magufuli ni mchapa kazi nadhani wizara ya ujenzi unaiona jinsi ilivyo kuwa mbele"

2. ni mtu asie na kundi lolote na huwa anasimama yeye kama yeye katika kila linalo muhusu"

3. kielimu huwezi fananisha Magufuli na Lowassa sababu Magufuli ni mkemia lakini lowassa ni msanii maana degree yake ni ya sanaa''

4. Anaposimama jukwaani anaeleza kitu kwa mifano hai na kwa kusisitiza na huwezi fananisha sera zake na mgombea wa ukawa ambae hawezi hata kueleza back ground ya maisha yake ndani ya siasa .

5. Chama chake Magufuli alichotoka bado hakijafarakana hivyo ni jambo jepesi hata kuunda baraza la serikali mpya na haiwezi fananishwa na ukawa ambapo wanaotegemewa wamekikimbia chama na kubakiza watu wasio waelewa maana hata nyumba kumi hawawezi kuongoza hivyo utajikuta baraza linajazwa na akina mnyika wasio na kauli wala nidhamu hata wawapo bungeni.Hii inatukumbusha kuwa tukiwapa utawala ukawa basi serikali itapambwa na mafisadi waliokimbia ccm.

Nawewe toa sababu ya kumchagua Lowassa.
 
Pole sana mkuu. Ila kwa sasa kila mtu ameshajua anamchagua nani. Wala hakuna mtu atakayebadilika tena. Hayo uliyoandika hayana maana tena, yaani yameshapitwa na wakati. Kwa muda uliobaki wa lowassa watabaki kwa lowassa hata lolote limfike.
 
Toa sababu ya kumchagua Lowassa., mimi natoa za kumchagua Magufuli.

Sababu za kumchagua MAGUFULI.
1. Magufuli ni mchapa kazi nadhani wizara ya ujenzi unaiona jinsi ilivyo kuwa mbele"

2. ni mtu asie na kundi lolote na huwa anasimama yeye kama yeye katika kila linalo muhusu"

3. kielimu huwezi fananisha Magufuli na Lowassa sababu Magufuli ni mkemia lakini lowassa ni msanii maana degree yake ni ya sanaa''

4. Anaposimama jukwaani anaeleza kitu kwa mifano hai na kwa kusisitiza na huwezi fananisha sera zake na mgombea wa ukawa ambae hawezi hata kueleza back ground ya maisha yake ndani ya siasa .

5. Chama chake Magufuli alichotoka bado hakijafarakana hivyo ni jambo jepesi hata kuunda baraza la serikali mpya na haiwezi fananishwa na ukawa ambapo wanaotegemewa wamekikimbia chama na kubakiza watu wasio waelewa maana hata nyumba kumi hawawezi kuongoza hivyo utajikuta baraza linajazwa na akina mnyika wasio na kauli wala nidhamu hata wawapo bungeni.Hii inatukumbusha kuwa tukiwapa utawala ukawa basi serikali itapambwa na mafisadi waliokimbia ccm.

Nawewe toa sababu ya kumchagua Lowassa.
Huu upuuzi hupaswi hata kujibiwa! Urais mwaka huu Magufuli atausikia TWAWEZA tu.
 
Magufuri ni mgombea asiye na unasaba wala mambo ya kukwapua nje ya nchi kama Lowassa mwenye lundo la mali za ajabu nje ya nchi na akaunti kibao zenye majina ya bandia
 
JJP Magufuri ndo rais wa kizazi hiki mwenye familia yake hapa Tz.
 
Toa sababu ya kumchagua Lowassa., mimi natoa za kumchagua Magufuli.

Sababu za kumchagua MAGUFULI.
1. Magufuli ni mchapa kazi nadhani wizara ya ujenzi unaiona jinsi ilivyo kuwa mbele"

2. ni mtu asie na kundi lolote na huwa anasimama yeye kama yeye katika kila linalo muhusu"

3. kielimu huwezi fananisha Magufuli na Lowassa sababu Magufuli ni mkemia lakini lowassa ni msanii maana degree yake ni ya sanaa''

4. Anaposimama jukwaani anaeleza kitu kwa mifano hai na kwa kusisitiza na huwezi fananisha sera zake na mgombea wa ukawa ambae hawezi hata kueleza back ground ya maisha yake ndani ya siasa .

5. Chama chake Magufuli alichotoka bado hakijafarakana hivyo ni jambo jepesi hata kuunda baraza la serikali mpya na haiwezi fananishwa na ukawa ambapo wanaotegemewa wamekikimbia chama na kubakiza watu wasio waelewa maana hata nyumba kumi hawawezi kuongoza hivyo utajikuta baraza linajazwa na akina mnyika wasio na kauli wala nidhamu hata wawapo bungeni.Hii inatukumbusha kuwa tukiwapa utawala ukawa basi serikali itapambwa na mafisadi waliokimbia ccm.

Nawewe toa sababu ya kumchagua Lowassa.

Huo ndo uhalisia mkuu
 
JJP Magufuri ndo rais wa kizazi hiki mwenye familia yake yote hapa Tz.
 
hiyo pointi yako ya tatu hebu ifanyie utafiti kidogo.kati ya wanasayansi na waliosoma arts wapi wameongza sana taifa hili katika ngazi ya uraisi halafu jibu lake uje uliweke humu.
 
Toa sababu ya kumchagua Lowassa., mimi natoa za kumchagua Magufuli.

Sababu za kumchagua MAGUFULI.
1. Magufuli ni mchapa kazi nadhani wizara ya ujenzi unaiona jinsi ilivyo kuwa mbele"

2. ni mtu asie na kundi lolote na huwa anasimama yeye kama yeye katika kila linalo muhusu"

3. kielimu huwezi fananisha Magufuli na Lowassa sababu Magufuli ni mkemia lakini lowassa ni msanii maana degree yake ni ya sanaa''

4. Anaposimama jukwaani anaeleza kitu kwa mifano hai na kwa kusisitiza na huwezi fananisha sera zake na mgombea wa ukawa ambae hawezi hata kueleza back ground ya maisha yake ndani ya siasa .

5. Chama chake Magufuli alichotoka bado hakijafarakana hivyo ni jambo jepesi hata kuunda baraza la serikali mpya na haiwezi fananishwa na ukawa ambapo wanaotegemewa wamekikimbia chama na kubakiza watu wasio waelewa maana hata nyumba kumi hawawezi kuongoza hivyo utajikuta baraza linajazwa na akina mnyika wasio na kauli wala nidhamu hata wawapo bungeni.Hii inatukumbusha kuwa tukiwapa utawala ukawa basi serikali itapambwa na mafisadi waliokimbia ccm.

Nawewe toa sababu ya kumchagua Lowassa.

Hauna tofauti na kichaa...
 
1.jpg
 
Back
Top Bottom