Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Huu upuuzi hupaswi hata kujibiwa! Urais mwaka huu Magufuli atausikia TWAWEZA tu.Toa sababu ya kumchagua Lowassa., mimi natoa za kumchagua Magufuli.
Sababu za kumchagua MAGUFULI.
1. Magufuli ni mchapa kazi nadhani wizara ya ujenzi unaiona jinsi ilivyo kuwa mbele"
2. ni mtu asie na kundi lolote na huwa anasimama yeye kama yeye katika kila linalo muhusu"
3. kielimu huwezi fananisha Magufuli na Lowassa sababu Magufuli ni mkemia lakini lowassa ni msanii maana degree yake ni ya sanaa''
4. Anaposimama jukwaani anaeleza kitu kwa mifano hai na kwa kusisitiza na huwezi fananisha sera zake na mgombea wa ukawa ambae hawezi hata kueleza back ground ya maisha yake ndani ya siasa .
5. Chama chake Magufuli alichotoka bado hakijafarakana hivyo ni jambo jepesi hata kuunda baraza la serikali mpya na haiwezi fananishwa na ukawa ambapo wanaotegemewa wamekikimbia chama na kubakiza watu wasio waelewa maana hata nyumba kumi hawawezi kuongoza hivyo utajikuta baraza linajazwa na akina mnyika wasio na kauli wala nidhamu hata wawapo bungeni.Hii inatukumbusha kuwa tukiwapa utawala ukawa basi serikali itapambwa na mafisadi waliokimbia ccm.
Nawewe toa sababu ya kumchagua Lowassa.
Toa sababu ya kumchagua Lowassa., mimi natoa za kumchagua Magufuli.