Hii nimeikuta mahali nikaona niilete na humu ili wale wote wasio niealewa angalau waanze kuelewa kuwa matokeo haya sio bure, iko namna!.
.......Alimtaja mwanafunzi mwingine, Martin Rushaigwa, namba 01197/0173, ambaye alifanya masomo ya Arts.
Alisema matokeo ya mwanafunzi huyo yanaonesha kuwa ameongezewa alama za masomo ya biashara ya Bookeeping na Commerce, ambayo hakuyafanya kabisa.................
Pasco.
ndugu yangu sikubaliani na wewe. mwalimu anapotunga mtihani shuleni, lazima ajiulize kuwa syllabus imefundishwa hadi wapi. akitunga mtihani wa muhula wa kwanza, itakua ajabu akiweka topics ambazo hajazifundisha. zinafaa kufundishwa
muhula wa pili. huo ndiyo upimaji (evaluation)
Wanafunzi hawasomi wamejiloga wenyewe
Shule zilizofaulisha vizuri ni zilezile zenye fedha za kutosha. MoU inafanya kazi iliyotarajiwa. Hilo halina kificho.
Ni wakati muafaka MoU irudi kwenye shule za kata.
Comment nyingine bana...Unajikuta ukicheka tu mwenyewe..dah,... zombaaaaaaaaaaaaaaaaa....
Kweli wewe ni jembe mtu wangu...Kha...Tuseme hapa ndio End of Thinking Capacity??
S1197/0173
[TD="width: 4%"] M [/TD]
[TD="width: 6%"] 34 [/TD]
[TD="width: 4%"] FLD [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F [/TD]
Pasco, mbona Bookeeping na Commerce hayapo kwenye matokeo ya huyo mwanafunzi mwenye namba S1197/0173!!!
Wew thinking capacity imeishia wapi? nieleze kati ya shule zenye kufaidika na MoU na zisizo na MoU zipi zilizofanya vizuri?
Mimi Thinking Capacity yangu inakwenda beyond borders...
Nenda Kenya Uganda, India, Marekani, nk,nk, uangalie shule zinazoongoza ni zipi? Zinamilikiwa na kina nani?
Then urudi tujadili hoja ukiwa umeshavua blanketi la u - fanaticism linalokukinga kuuona ukweli.
Mkuu Dina, huku ndiko ninakoelekea, hapa naandika tuu ili kupunguza machungu!, hivyo kushusha ressure na hasira na maumivu!.
P.
ndugu yangu sikubaliani na wewe. mwalimu anapotunga mtihani shuleni, lazima ajiulize kuwa syllabus imefundishwa hadi wapi. akitunga mtihani wa muhula wa kwanza, itakua ajabu akiweka topics ambazo hajazifundisha. zinafaa kufundishwa
muhula wa pili. huo ndiyo upimaji (evaluation)
ile formula ya kcaase kwa waliyo chukua ualimu wanaelewa umuhimu wake. kugawa maswali kwa 25. 50 na 25% kama nilivyo andika awali ni muhimu sana. kwa mwalimu bora, akipelekwa senegal kutunga mitihani, hawezi kukurupuka kutunga kabla ya kuzingatia vipengele vingi. baadhi yake ni kuuliza kama hapajatokea mafuriko au vita au janga lolote lililofanya syllabus zisifundishwe kwa ukamilifu, maabara zipo mashuleni, ufaulu wa mwaka uliopita ulikuwaje, nk......
ufaulu mzuri ni ule ambao umekaa kama bakuli lilofunikwa. pande za pembeni ziko chini na upande wa katikati uko juu. namaanisha kuwa wanaofaulu kwa division 1 wachache, wanaopata div 11 na 111 wengi, na wale wa iv na 0 wachache. mwaka huu wa iv na 0 ndiyo wengi! hii ni hatari. sababu zitafutwe naamini ni nyingi lakini lazima waliyotunga nao wana swali la kujibu. dkt. ngalichako ajiuzulu
Yanini kwenda kote huko? hapa kwenu hujapamaliza. Unataka kushindana na waliowekeza kwenye elimu toka wanapata uhuru wakati wewe uliwekeza kwenye kuwafundisha watoto kufagia na kulima kwa jembe la mkono? na ukaamuwa kikundi kidogo uwape ruzuku, kwetu tunaiita MoU, ili uwape elimu wawatawale wale unaowafundisha kufagia vyoo? Hiyo ndio misingi yetu ya elimu toka tulipopata uhuru.
Wew thinking capacity imeishia wapi? nieleze kati ya shule zenye kufaidika na MoU na zisizo na MoU zipi zilizofanya vizuri?
Aiseee.....
Aiseee.....
Tangu lini mtu kusema ukweli ukawa uchochezi? Hakuna sehemu yoyote duniani wanaweza kukubali matokeo ya aina hii zaidi ya Tanzania. Kuna haja ya kuisuka upya wizara ya elimu kama siyo serikali nzima.
Kwa maoni yangu, kitendo cha NECTA kutunga mtihani ambao siyo ili kuwakomoa "watu fulani " kulikopelekea wanafunzi kufeli vibaya ili kujustify hao kina "fulani" ni wajinga!, na kuyapeleka makaratasi halisi ya mtihani kuuanika uthibitisho wa jinsi hao kina fulani walivyo jibu utumbo yakiwemo matusi ili kupata public sympathy kujustify tatizo sio NECTA, sio mitihani wall sio usahihishaji bail ni wanafunzi ndio wajinga na vibonde, hakipaswi kuachwa bila kupingwa!.
zomba tufike mahali tuongee kama taifa, wanafunzi wa baadhi ya shule hawajajibu chochote kwenye somo la elimu ya viumbe (Biology). Shule ilipoulizwa kunani, wakajibu kuwa hawakuwahi kuwa na mwalimu wa somo hilo ndio maana watahiniwa wameshindwa cha kujibu......kwangu mimi hapa MoU is irrelevant. Shule zipate walimu wa kutosha, plus miundo mbinu iboreshwe and that's it.
Haa haa, umechokaje?!!