Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama kwa hakika kamba imekatikia pabovu!Wenye faida naye watamlilia, ziara na marupurupu ya huko sio mchezo!
We dada nini hii kunivurugia ndoa yangu?View attachment 3156973
Wakuu, poleni kwa janga la Kariakoo. Mungu awarehemu waliotangulia, majeruhi wapate nafuu mapema na ambao bado wapo katika kifusi wapate kuokolewa wangali hai, Amen!
Kama mtakumbuka vyema, mwishoni mwa mwezi May niliwaletea habari kuhusiana na suala la Dr. Khiago kutumia nafasi yake kama Katibu Mtendaji wa bodi ya filamu nchini kufanya upendeleo katika ziara iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais ambayo wasanii na wadau wa filamu nchini waliungana na Rais kuelekea Korea ya Kusini.
Niliwaelezea namna Dr. Khiago alivyotumia nafasi yake hiyo kumuengua msanii (Mwanamama) aliyependekezwa hapo kabla kisha kumuweka anayedaiwa kuwa 'mpango wa kando' wake. Kitendo hicho kilituumiza tuliokuwa wengi, hadi kupelekea mimi kupaza sauti hapa jamvini...
Hivyo basi, hilo na mengine mengi vimepelekea Dr. Khiago kukosa sifa ya kuendelea kuwa Katibu Mtendaji wa bodi ya filamu nchini.
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba tayari ameshaenguliwa katika nafasi hiyo, na Katibu Mkuu mpya atakuwa baina ya Tido Muhando, Dr. Kasiga kutoka Udom au mwingine ambaye nimeshindwa kulipata jina lake kwa uharaka.
Penzi kitovu cha uzembe... Dokta atarudi kufundisha chuo kikuu kutoka kuwa Bosi wa bodi ya filamu nchini!
Chanzo changu nyeti pamoja nami,
Nifah.
Pia soma
Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...www.jamiiforums.com
MmhMagdalena Maguire
Aisee huyo mshauri siyo mtu mzuriSubirini siku nilete ubuyu mserereke, ninao kabatini wa moto ila ndio hivyo mshauri wangu ananibana sana.
Pole kumbe pazitoAnanilinda, nitawaletea ubuyu hapa mfurahi halafu mimi nikaokotwe kwenye kiroba.
Karma is bitch ,no matter how faster he run to escape is sin one he will stuck in cornerAlikuwa na mume Dokta alifanya makeke akawaachanisha sasa hivi anajilia 'mbivu' mwenyewe.
Ulete utie code ngumu 😆 jukwaa limepoa sanaSubirini siku nilete ubuyu mserereke, ninao kabatini wa moto ila ndio hivyo mshauri wangu ananibana sana.
NinaingojaNi habari kubwa sana, nchi ina mengi hii ndugu yangu.
Halafu sio moja sasa.
Demu wake ndio huyo hapo pembeni?View attachment 3156989Kando yake iliyomponza Dr….
Picha inajieleza, sitoandika zaidi.
Maji yanazidi kukorogekaView attachment 3156973
Wakuu, poleni kwa janga la Kariakoo. Mungu awarehemu waliotangulia, majeruhi wapate nafuu mapema na ambao bado wapo katika kifusi wapate kuokolewa wangali hai, Amen!
Kama mtakumbuka vyema, mwishoni mwa mwezi May niliwaletea habari kuhusiana na suala la Dr. Khiago kutumia nafasi yake kama Katibu Mtendaji wa bodi ya filamu nchini kufanya upendeleo katika ziara iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais ambayo wasanii na wadau wa filamu nchini waliungana na Rais kuelekea Korea ya Kusini.
Niliwaelezea namna Dr. Khiago alivyotumia nafasi yake hiyo kumuengua msanii (Mwanamama) aliyependekezwa hapo kabla kisha kumuweka anayedaiwa kuwa 'mpango wa kando' wake. Kitendo hicho kilituumiza tuliokuwa wengi, hadi kupelekea mimi kupaza sauti hapa jamvini...
Hivyo basi, hilo na mengine mengi vimepelekea Dr. Khiago kukosa sifa ya kuendelea kuwa Katibu Mtendaji wa bodi ya filamu nchini.
Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba tayari ameshaenguliwa katika nafasi hiyo, na Katibu Mkuu mpya atakuwa baina ya Tido Muhando, Dr. Kasiga kutoka Udom au mwingine ambaye nimeshindwa kulipata jina lake kwa uharaka.
Penzi kitovu cha uzembe... Dokta atarudi kufundisha chuo kikuu kutoka kuwa Bosi wa bodi ya filamu nchini!
Chanzo changu nyeti pamoja nami,
Nifah.
Pia soma
Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...www.jamiiforums.com
Alafu wewe pia mzuri. Umeolewa au singoleleNilipoleta hii habari wengi wenu mlipongeza Dr, leo ni kumtakia maisha mema?
Ila nimemuona mkewe mzuri mno, basi tu.
Baasi. Aenguliwe akamle vizuri bila bugdhaNilisema sitoandika zaidi...