CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Na alikuwa na mashamba makubwa ya mpunga inakuwaje awe apeche alolo ghafla hivi? Au alikuwa antufunga kamba.Kwani si huwa ana mifugo huyu? Hawezi kujiajiri mwenyewe mpk aajiriwe? Akamue maziwa auze aache kutegemea ajira
Inashangaza sana 😂😂😂Na alikuwa na mashamba makubwa ya mpunga inakuwaje awe apeche alolo ghafla hivi? Au alikuwa antufunga kamba.
Au utajiri wake ulikuwa wa ndagu sasa anatakaiwa aongeze kafara tena?Hata Kama amekuwa mbunge over 10 yrs Ila uwezekano wa yeye kuwa na financial muscles bado hauwezi kuwa the same , Kama akiwa Mbunge .
Kwakuwa ukiwa Mbunge hasa wa Ccm uwezekano wa kuwa tax exempted kwenye biashara zako ni mkubwa Sana .
Ni kweli yupo well off I'll njia ya kufanya defense katika mpira huwa nikushambulia.Inashangaza sana 😂😂😂
Au utajiri wake ulikuwa wa ndagu sasa anatakaiwa aongeze kafara tena?
Wabunge wengi sababu ya utamu walioonja hutumia kiinua mgongo kwa wajumbe ili warudi tena kwa vile vitu vya chako ni chakoMtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....
Mtu aliyewahi kuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi(nisahihishwe)
Mtu ambaye ametoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya 380m juzi tu hapa!!!
Anawezaje kuwa na njaa za kusaka ajira ili mkono uende kinywani.....???
Hebu tuzitoe fikra zetu kwenye gereza la fikra hasi ili kushibisha nafsi zetu mbaya
Kwani ukiwa Billionare hutakiwi kufanya kazi?Si alisema yeye ni Bilionea?
🤔🤔🤔💭🔊Huyu bwana ni rafiki yang, kiukweli hali yake ya kifedha ni ngumu sana kwa sasa. Madeni na mikopo inampa takati mgumu sana
Sio kujiajiri tena?! Yaani bado kwa umri huo hela alizoiba na madaraka aliyopitia anatafuta ajira?Kwahiyo ulitaka asitafute kazi?
Kazi sawa, ila sio ajiraKwani ukiwa Billionare hutakiwi kufanya kazi?
Zike za Vitalu bado anazoMwamba baada ya Nzega kumnyooaha ameanza Kusaka ajira mpya ili angalau asikose kitu kila mwezi. Asanteni Nzega
Kwani ajira ni dhambi? Au ni kosa kisheria?Sio kujiajiri tena?! Yaani bado kwa umri huo hela alizoiba na madaraka aliyopitia anatafuta ajira?
Wa-tz tuna matatizo flani. Ni sawa kipindi E. Lowassa alivyojiuzulu graphics ikaonesha anachunga ng'ombe... Huwezi amini Kuna watu walifurahi kwamba jamaa anachunga ng'ombe kwao Monduli kwa sababu Hana kazi!😂Mtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....
Mtu aliyewahi kuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi(nisahihishwe)
Mtu ambaye ametoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya 380m juzi tu hapa!!!
Anawezaje kuwa na njaa za kusaka ajira ili mkono uende kinywani.....???
Hebu tuzitoe fikra zetu kwenye gereza la fikra hasi ili kushibisha nafsi zetu mbaya
Mkuu unajua tabia ya pesa lakini? Kadiri unavyoipata ndivyo unavyoizoea na kuongeza matumizi. Mwisho wa siku usipokua makini unajikuta upo palepale.Mtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....
Mtu aliyewahi kuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi(nisahihishwe)
Mtu ambaye ametoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya 380m juzi tu hapa!!!
Anawezaje kuwa na njaa za kusaka ajira ili mkono uende kinywani.....???
Hebu tuzitoe fikra zetu kwenye gereza la fikra hasi ili kushibisha nafsi zetu mbaya
Malaya wote wamemkimbiaMkuu unajua tabia ya pesa lakini? Kadiri unavyoipata ndivyo unavyoizoea na kuongeza matumizi. Mwisho wa siku usipokua makini unajikuta upo palepale.
Ameanza kulipwa hizo yapata 30m toka Enzi za Mkwere 2005-2025 (Miaka 20).Bilioni moja ni pesa nyingi kwa ambaye amezowea kufanya biashara.
Bilioni moja ni ndogo sana kwa aliyezowea kulipwa hadi 30mil kwa kuhudhuria vikao mbali na makandokando.