SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
- #41
Miradi ya umalaya labda.Na sidhani kama jamaa atakosa kuwa na miradi hata ya kilimo
Miradi ya umalaya labda.Na sidhani kama jamaa atakosa kuwa na miradi hata ya kilimo
Hyo 380M kwake ni kama Sisi tukiwa na 1M kwenye account yani ni kama 10k kwa Mama ntilie maana inapukutika within secondsMtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....
Mtu aliyewahi kuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi(nisahihishwe)
Mtu ambaye ametoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya 380m juzi tu hapa!!!
Anawezaje kuwa na njaa za kusaka ajira ili mkono uende kinywani.....???
Hebu tuzitoe fikra zetu kwenye gereza la fikra hasi ili kushibisha nafsi zetu mbaya
Na zote hizo kashazimaliza. Hawawi na uwekezaji wa maana. Nyingi ni kuvuruga tu.Ameanza kulipwa hizo yapata 30m toka Enzi za Mkwere 2005-2025 (Miaka 20).
Mademu aliwahonga huenda wamejenga na nyumbaNa zote hizo kashazimaliza. Hawawi na uwekezaji wa maana. Nyingi ni kuvuruga tu.
Madeni alikopa Nini? Si auze baadhi ya assets zakeHuyu bwana ni rafiki yang, kiukweli hali yake ya kifedha ni ngumu sana kwa sasa. Madeni na mikopo inampa takati mgumu sana
KMadeni alikopa Nini?
Majungu majunguMwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza Kusaka ajira mpya ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
Serikali inayokataza Rushwa ndo hiyo hiyo inatoa na kupokea my RushwaAlitumia kuhonga Wajumbe ila wakampiga chini. Bashe alimwekea mgombea na akampa fedha nyingi za wizara ya kilimo
Unajua madeni yao ..Mtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....
Mtu aliyewahi kuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi(nisahihishwe)
Mtu ambaye ametoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya 380m juzi tu hapa!!!
Anawezaje kuwa na njaa za kusaka ajira ili mkono uende kinywani.....???
Hebu tuzitoe fikra zetu kwenye gereza la fikra hasi ili kushibisha nafsi zetu mbaya
Kama ni rafiki yako fanya mambo yafuatayo:Huyu bwana ni rafiki yang, kiukweli hali yake ya kifedha ni ngumu sana kwa sasa. Madeni na mikopo inampa takati mgumu sana
Poleee yakee.Huyu bwana ni rafiki yang, kiukweli hali yake ya kifedha ni ngumu sana kwa sasa. Madeni na mikopo inampa takati mgumu sana
😂😂😂😂Hyo 380M kwake ni kama Sisi tukiwa na 1M kwenye account yani ni kama 10k kwa Mama ntilie maana inapukutika within seconds
huyo hapo sasa utaangalia mwenyewe kama hapo yuko shambani au LodgeMiradi ya umalaya labda.
Mind your own business idiotMwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
HahahahaMwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
Alianza na za wanafunzi wenzake MUHAS,, mkewe naye alichota za MEWATA... hawezi kuwa na njaa..Mtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....
Mtu aliyewahi kuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi(nisahihishwe)
Mtu ambaye ametoka kuchukua kiinua mgongo cha zaidi ya 380m juzi tu hapa!!!
Anawezaje kuwa na njaa za kusaka ajira ili mkono uende kinywani.....???
Hebu tuzitoe fikra zetu kwenye gereza la fikra hasi ili kushibisha nafsi zetu mbaya
Huu ndo muda wa kusoma lile andiko lake la nje ya box 🤣🤣🤣Mtu aliyekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka kumi.....