SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
- #61
Malaya je?Wabunge hubebwa na posho tu na kiunua mgongo mana sikwa madeni hayo
Malaya je?Wabunge hubebwa na posho tu na kiunua mgongo mana sikwa madeni hayo
Endelea kujidanganya...Wabunge hubebwa na posho tu na kiunua mgongo mana sikwa madeni hayo
Kweli?Huyu bwana ni rafiki yang, kiukweli hali yake ya kifedha ni ngumu sana kwa sasa. Madeni na mikopo inampa takati mgumu sana
Huenda alikuwa anatakatisha fedha!Aliwahi kusema kuwa yeye ni multi billionaire
Kumbe huwa hawajiajiri kama wanavyowaambia vijana wanaomaliza vyuo?!Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
Kalewa pesa za wizi mwislam safi yuleAliwahi kusema kuwa yeye ni multi billionaire
Tezi basi kivipi kwani umri umeenda? Au mfumo umemkataa.Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega