Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

Hyo 380M kwake ni kama Sisi tukiwa na 1M kwenye account yani ni kama 10k kwa Mama ntilie maana inapukutika within seconds
 
Unajua madeni yao ..
Ni ya kuuza mali.. banks zinapiga minada vyootee
 
Huyu bwana ni rafiki yang, kiukweli hali yake ya kifedha ni ngumu sana kwa sasa. Madeni na mikopo inampa takati mgumu sana
Kama ni rafiki yako fanya mambo yafuatayo:

1. Msitiri mwanaume mwenzio kama unafahamu mapito yake kwa kutotangaza madeni yake.

2. Msaidie kwa hali na mali kama una uwezo na dhamira njema

3. Muache na maisha yake sababu hakuna aijuaye kesho yake.
 
Alianza na za wanafunzi wenzake MUHAS,, mkewe naye alichota za MEWATA... hawezi kuwa na njaa..
 
Huu ndo muda wa kusoma lile andiko lake la nje ya box 🤣🤣🤣
Wazee wa vijana mjiajiri wakati wao mwenyewe hata dk 5 hawezi ku survive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…