Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

Kama serikali ingekuwa sikivu,isingekubali wataalamu kugombea ubunge na kuwa Wanasiasa!
Mimi nampongeza kwa hilo! Professionally ni Daktari! Aanze kuitumia kusaidia wagonjwa.
 
Alikuwa na chuo cha afya ile kona ya Nzega kuelekea Tinde. Ilikufa?
 
Yetu macho...
Atakula maneno yake na dharau...
 
Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
Kumbe huwa hawajiajiri kama wanavyowaambia vijana wanaomaliza vyuo?!
 
Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
Tezi basi kivipi kwani umri umeenda? Au mfumo umemkataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…