peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ukiona wasomi wanaanza kuhangaka na miti shamba na waganga wa kienyeji ujue dunia imefika mwishoNdio anakuongoza unywe hayo majani bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona wasomi wanaanza kuhangaka na miti shamba na waganga wa kienyeji ujue dunia imefika mwishoNdio anakuongoza unywe hayo majani bwashee!
Ukiona wasomi wanaanza kuhangaka na miti shamba na waganga wa kienyeji ujue dunia imefika mwisho
Haya majani ambayo hayajulikani chamical composition yake yataua figo au ini.Ndio anakuongoza unywe hayo majani bwashee!
Kigwangalla ni daktari wa binadamu usisahau hilo!Haya majani ambayo hayajulikani chamical composition yake yataua figo au ini.
Dr kibwangala ,Kuna wakati alipataga ajali tukamuomba akiwa kwa waganga wa kienyeji huko kwao baada ya kupona MOI.mbona hakuanzia kwa waganga wa kienyeji wakati alipata ajali kabla ya kupelekwa MOI? Huyu ni Dr wa ajabu duniani.Heee! Yamekuwa hayo?
Dawa hiyo, google uone, nadhani yanaitwa mulavumba kama sijakosea.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]..hawa wazee watatuuwa sasa..kila jani ni dawa..mwisho tutalishana sumu sasa
Alichosema ni Kweli, maana kuna watu wanafikiri serikali inajali kuhusiana na CoronaWaziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.
Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.
Maendeleo hayana vyama!