Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

Heee! Yamekuwa hayo?
Dr kibwangala ,Kuna wakati alipataga ajali tukamuomba akiwa kwa waganga wa kienyeji huko kwao baada ya kupona MOI.mbona hakuanzia kwa waganga wa kienyeji wakati alipata ajali kabla ya kupelekwa MOI? Huyu ni Dr wa ajabu duniani.
 
Na anajiita Dr hahaha, kuna watu waliibia sana hadi wakapata uDr
 
Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe.

Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie bila kuchelewa.


Maendeleo hayana vyama!
Alichosema ni Kweli, maana kuna watu wanafikiri serikali inajali kuhusiana na Corona
 
Ni sawa maana kabla ya kuwa mbunge alikuwa ni Mganga wa Tiba asili ,wakishilikiana na Dr.Mwaka.lakini Dr.Mwaka alimzidi ujanja HK, ndiyo maana alicyopata unaibu Waziri wa Afya aliamu kumvalia njuga Dr.Mwaka ili amukomoe.
 
Back
Top Bottom