johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu
Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana
=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?
Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!
Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄