Dr Kigwangalla: Mbowe asikubali kushindwa na Lisu, akishindwa atakuwa Fala sana

Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu

Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana

=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?

Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!

Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄

View attachment 3182696
Mbinu za kizamani sana hizi. Kingwangalla nae amekuwa mpambe wa Mbowe?
Sitashangaa Makalla nae akitoa neno.

Amandla...
 
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu

Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana

=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?

Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!

Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄

View attachment 3182696
YAANI HUYU JAMAA SIJUI U DR WAKE UPOJE.......THIS IS NONSENSE
 
Back
Top Bottom