Dr Kigwangalla: Mbowe asikubali kushindwa na Lisu, akishindwa atakuwa Fala sana

Haitawezekana kamwe na katu Lissu kuongoza CHADEMA.Hiyo haiwezekani na haiji kuwezekana maana hana uwezo wa kuiongoza CHADEMA.Chama kitaendelea kuwekwa katika mikono salama ya Mwamba na Jabali wa siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki Mheshimiwa Freeman Mbowe
Nimebubujikwa n machozi Kwa huu unafik
 
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu

Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana

=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?

Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!

Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄

View attachment 3182696
Lisu anafanya watu wanakosa usingizi
 
Hawa akina Luca wanatuchezea sana akili.

Hata Samia akiondoka madarakani wataanza kumsuta na kumbagaza.

Hawana wanaloliamini, ni mwendo wa kupiga jalamba kwa kadiri upepo unapoelekea.

Cc: Lucas Mwashambwa
Namkubali sana Rais Samia .ndio Maana Humuombea kila siku ili MUngu aendelee kumlinda,kumtetea na kumpigania.lakini pia Humuombea ili Mungu aendelee kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
 
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu

Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana

=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?

Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!

Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄

View attachment 3182696
Manyumbu yagonganishwe vichwa
 
Naunga mkono hoja Lisu hajawahi jenga chama chochote kazi yake kuparamia vyama vilivyojijenga tayari akiwindq fursa

Hata akipigwa chini uchaguzi atatorokea vyama vilivyojijenga tayari kuwinda fursa iwe CCM, au ACT Wazalendo hawezi kwenda Chauma nk ni muwinda fursa tu

Mbowe ukikubali Lisu ashinde utakuwa akili huna
 
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu

Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana

=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?

Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!

Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄

View attachment 3182696
Tabia ya mtu mnafiki ni ya ajabu sana.
 
Sasa nimeanza kumdharau huyu Dk.
Anataka kuwaaminisha watanzaia kuwa hicho chama ni cha Familia?
hana haja ya kutuaminisha inafahamika tangu zamani sema kafanya kukumbushia
 
Nyoka wamemwagiwa mafuta ya taa pangoni, sasa kila mmoja anatoka na kelele zake ,tuendelee kuvuta subira mpaka watoke wote
 
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu

Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana

=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?

Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!

Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄

View attachment 3182696
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB

Muislam yoyote kuwa na akili ni ndoto...uwezekana wa Muislam kuwa na akili ni asilimia 2% na uwezekano wa mkristo kuwa na akili ni asilinia 18%
 
mbona naona kama mnampa sifa za kinafiki mbowe? Mnafanya utoto kwenye siasa. Mnamvimbisha mbowe kinafiki huku mnajua kabisa kinagaubaga mapungufu yake kwa namna anavyoiendesha chadema kama mali ya familia yao
Ukiona adui yako ghfla anakuwa mwema kwako ma kuanza kujenga ukaribu na kukupa sifa za kinafiki- kaa chonjo.
 
Alipata kunena Kwame Nkuruma (the late)
Kuwa “ adui au hasimu wako akikwambia kimbia wewe usikimbie bali simama na akikwambia simama wewe timua mbio”
 
Back
Top Bottom