Dr Kigwangalla: Mbowe asikubali kushindwa na Lisu, akishindwa atakuwa Fala sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu

Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana

=============
Mbowe asikubali kushindwa na Lissu. Akishindwa atakuwa fala sana…Yaani akipiganie chama kwa jasho na damu kwa miaka zaidi ya 30, aje akubali kunyang’anywa na mashujaa wa mitandaoni?

Tutamshangaa sana. Kwanza baba mkwe wake kakianzisha na kukijenga, kisha yeye binafsi katumia ujana wake kukijenga, leo aje mtu mtu tu akichukue?! No way!

Bilionea Kigwangalla ametoa angalizo Ukurasani kwake X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄

 
Haitawezekana kamwe na katu Lissu kuongoza CHADEMA.Hiyo haiwezekani na haiji kuwezekana maana hana uwezo wa kuiongoza CHADEMA.Chama kitaendelea kuwekwa katika mikono salama ya Mwamba na Jabali wa siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki Mheshimiwa Freeman Mbowe
 
🤔🤔🤔
 
Kunguni wa mama Abduli risiti zako tunazo.

Hapo ulisema hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamuunga mkono hivyo sasa unapomuunga mkono maana yake pia huna akili timamu.

Tueleze hapo Mbowe aliyejikatia na tamaa na kupoteza ushawishi wa wanachama hapo January ndio kageuka mwamba December?
 
Kanisa moja takatifu la mitume.
 
Sasa nimeanza kumdharau huyu Dk.
Anataka kuwaaminisha watanzaia kuwa hicho chama ni cha Familia?
 
Unajenga na unamuachia mwingine aendeleze, sio cha mtu binafsi. Kukichomeka chama mfukoni sio uuuuungwana. Lissu nakusihe uchomoe hicho chama kutoka mfukoni mwa mtu.
 
CCM watautumia sana huu mgongano najua maelekezo kutoka lumumba yashatolewa kuivuruga CDM kwa staili hii. 2025 form moja lazima yatokee yale ya Lowassa mnyukano mkali utatokea
 
Nqmsubiri ajibu
 
Hawa akina Luca wanatuchezea sana akili.

Hata Samia akiondoka madarakani wataanza kumsuta na kumbagaza.

Hawana wanaloliamini, ni mwendo wa kupiga jalamba kwa kadiri upepo unapoelekea.

Cc: Lucas Mwashambwa
 
mbona naona kama mnampa sifa za kinafiki mbowe? Mnafanya utoto kwenye siasa. Mnamvimbisha mbowe kinafiki huku mnajua kabisa kinagaubaga mapungufu yake kwa namna anavyoiendesha chadema kama mali ya familia yao
 
Kama alivyo fala yeye na ukoo wake huko nzega alioutelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…