Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

Dr walimchukulia PAPAI kumbe vijana wanakalia
Uongo mtupu, sema uambiwee Hadi Nani huwa anampumulia shingoni huyo Dokta wako.

Kwa taarifa yako sasa huyo ni papai pyuaa, na sio mchicha mwiba kuwa unachomaa.

Kawadanganyee wasiojua, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halooooooooo wwwwwwwew
 
Huyu daktari wa nini?

Ova
Daktari wa falsafa kutoka chuo kikuu. Aliandika tasnifu kuhusu mchango wa uchawa unavyodumaza taaluma za wasomi Tanzania.

Katika tasnifu hiyo Dr. Kumbuka ambaye ni mtangazaji msomi nchini aliwataja baadhi ya wasomi wenzake wa majalalani waliopata ufaulu mkubwa katika shahada za uzamili na uzamivu lakini kwa sababu ya uchawa walijikuta wakikana maandiko yao kwa sababu ya matumbo.

Dr. Kumbuka (PHD) katika kitabu chake cha Chawaism in Poverty Liberation anawataja wasomi kama Dr. Mwakyembe aliyekana andiko lake alilopatia PHD na kuwa na msimamo kinzani kwa sababu ya uchawa.
 
Back
Top Bottom