Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

Daktari wa falsafa kutoka chuo kikuu. Aliandika tasnifu kuhusu mchango wa uchawa unavyodumaza taaluma za wasomi Tanzania.

Katika tasnifu hiyo Dr. Kumbuka ambaye ni mtangazaji msomi nchini aliwataja baadhi ya wasomi wenzake wa majalalani waliopata ufaulu mkubwa katika shahada za uzamili na uzamivu lakini kwa sababu ya uchawa walijikuta wakikana maandiko yao kwa sababu ya matumbo.

Dr. Kumbuka (PHD) katika kitabu chake cha Chawaism in Poverty Liberation anawataja wasomi kama Dr. Mwakyembe aliyekana andiko lake alilopatia PHD na kuwa na msimamo kinzani kwa sababu ya uchawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI. Hongera sana Dr
Huyu mtu ile RANGI yake kila nikimuona huwa napata walakin!
Sijui ni kwa nini, ila si kwa nia mbaya!
 
Back
Top Bottom