Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daktari wa falsafa kutoka chuo kikuu. Aliandika tasnifu kuhusu mchango wa uchawa unavyodumaza taaluma za wasomi Tanzania.
Katika tasnifu hiyo Dr. Kumbuka ambaye ni mtangazaji msomi nchini aliwataja baadhi ya wasomi wenzake wa majalalani waliopata ufaulu mkubwa katika shahada za uzamili na uzamivu lakini kwa sababu ya uchawa walijikuta wakikana maandiko yao kwa sababu ya matumbo.
Dr. Kumbuka (PHD) katika kitabu chake cha Chawaism in Poverty Liberation anawataja wasomi kama Dr. Mwakyembe aliyekana andiko lake alilopatia PHD na kuwa na msimamo kinzani kwa sababu ya uchawa.
Kaliwa?Dr limemkuta Jambo huko. Ushan'fahamu?
Unauliza fimbo jela?Kaliwa?
Jambo teeena?Dr limemkuta Jambo huko. Ushan'fahamu?
Mbona hamsemi asee mafumbo mafumbo tuu dr kafumuliwa auDr washamtepetesha kmmk
Kitambo mbonaMbona hamsemi asee mafumbo mafumbo tuu dr kafumuliwa au
Huyu mtu ile RANGI yake kila nikimuona huwa napata walakin!MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI. Hongera sana Dr
😂 😂 😂 😂 😂 😂 mzee wa Bububu Mjini MagharibUshan'fahamu?