Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Mkuu huyu jamaa ni gay au???MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI. Hongera sana Dr