man u vs as roma nakumbuka alimzungumzia vizuri fransisco totti mpaka leo maneno yake yapo kichwani kila nikiiona as roma au picha ya totti namkumbuka DrHahaa kumbe mkuu unakumbuka?
Michuzi nae akawa akitumia mda mwingi tu watu wanapiga simu kumtuliza
na kumwambia amuache Dr aongee...
Edo pia alikuwa anaboa hadi basi...
dah kweli miaka inabadilika
Hajaanzisha kamali.. ila anapenda sana kamali... ni mteja mzuri sana wa kamali kwenye ma casino..
Acha kudanganya watu, Liki Abdallah ni mchumi kitaaluma na ana Phd , siyo aliitwa Dr kwa ajili ya mpira.Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Haya banaAcha kudanganya watu, Liki Abdallah ni mchumi kitaaluma na ana Phd , siyo aliitwa Dr kwa ajili ya mpira.
Nishamuona sana katika makongamano ya uchumi.
hajui mpira,anajua story za mpiraNa kwanini wasimtumie hata kwenye benchi la ufundi taifa stars
edo anatohoa makala za watu mtandaoniBabu wa historia. Hakuna zaidi. Kwangu Mchambuzi makini wa soka hapa nchini kwa sasa ni Edo Kumwembe.
Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Dada zake Je?Ana mke wa kipemba yule mama ni mtata sijawahi kuona
Ana mdogo Wake ni Engineer naye ni full michapo na vichekesho!Kumbe ni udaktari wa uchambuzi.