Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

Hahaa kumbe mkuu unakumbuka?
Michuzi nae akawa akitumia mda mwingi tu watu wanapiga simu kumtuliza
na kumwambia amuache Dr aongee...
Edo pia alikuwa anaboa hadi basi...
dah kweli miaka inabadilika
man u vs as roma nakumbuka alimzungumzia vizuri fransisco totti mpaka leo maneno yake yapo kichwani kila nikiiona as roma au picha ya totti namkumbuka Dr
ni living legend ila kizazi cha fb kimesombwa na edo
 
Mbona mmemsahau Paschal Mayalla nae pia alikuwapo wakishirikiana na kina Michuzi kwenye yale matangazo pale DTV wakati Dr Leakey anaanza uchambuzi,namkumbuka sana wakati wa fainali za euro 96,alikua the best huyu bwana.
 
Mtoa mada keshapata majibu yake, sisi tunalumbana .
 
katika uchambuzi wa mpira yuko safi sana Dr Leakey kwa bongo amewaacha mbali sana wachambuzi wengine wa soka
 
Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'

Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....

Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'

Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?

Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Acha kudanganya watu, Liki Abdallah ni mchumi kitaaluma na ana Phd , siyo aliitwa Dr kwa ajili ya mpira.

Nishamuona sana katika makongamano ya uchumi.
 
Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'

Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....

Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'

Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?

Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...

Sawia kabisa!

Naukumbuka vyema kabisa uchambuzi wake wa Euro '96.

Halafu...hivi pia hakuchambua World Cup '94 ITV?
 
Back
Top Bottom