dr leakey nakumbuka alliwah sema inambidi awe anakaa pembeni katik uchambuz ili kuwapisha vijana waendeleze kazi hii ya uchambuz mpira... Kwa kufanya hivyo kumesaidia kuibuka kwa kina jeff lea, shafii dauda, eddo na wengine wengi... Leakey alitoa msaada sana kwa vijana hasa eddo,, na ndio maana utaona uchambuz wa eddo unafanana sana na wa baba yake huyu mlezi aliyemfundisha kazi hii... Eddo hana papara, mihemuko, na huwa anaelewa kiwango cha mchezaj mmoja mmoja na anaweza fiti vip katika mechi husika.. Yote hayo amefundishwa na baba yake huyu aitwaye dr leakey... Kwahiyo eddo amepitia katika mikono ya huyu mzee na najua dr leaky atakuwa anajivunia sana eddo kama mwanafunzi wake kati ya wachambuzi wote waliopo tanzania..