Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Dr wa ku lickYeye ni Dr. Wa kamari?
Sahihi kabisa mkuu,ila u Dr wake ni wa kusomea sio soka kaka,ni mchumi but i stand to be corrected.Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Kitaalamu na kiufundi wote ni wachambuzi wazuri ila wamezidiana sehemu tofautitofautiLeakey ni historia ya soka imelala ila Kashasha ufundi wa soka upo kwake
Nimekupata jesse john[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji2] [emoji1]Huyu jamaa kiboko yake ni mwl Alex Kashasha
Ni kweli Afsa.. Jamaa amesomea taaluma kabisa... Namvulia kofia kila nikisikiliza uchambuzi wake TBC TAIFAAlex kashasha ni mwalimu wa michezo by professional. Hili halina ubishi.
Ana mke wa kipemba yule mama ni mtata sijawahi kuona
Umesema sahihi kabsa.wachambuz wa cku izi n wajanjajanja tuu.uyo mzee ukimsikilza humchoki.yaani anajua historia ya team,wachezaj,mashabik, viongoz.anafahamu matukio na ufundi kwny mpira.ukimsikilza lazma ufurahi na akupe hamu ya kufatilia.edo anatohoa makala za watu mtandaoni
Na utani kidogo..... Nampenda sana Dr LeakeyUmesema sahihi kabsa.wachambuz wa cku izi n wajanjajanja tuu.uyo mzee ukimsikilza humchoki.yaani anajua historia ya team,wachezaj,mashabik, viongoz.anafahamu matukio na ufundi kwny mpira.ukimsikilza lazma ufurahi na akupe hamu ya kufatilia.
hawa wachambuz cku n vle wanepewa nafac isionekane kuwa taifa linawanyima nafac vijana.lakin Dr is the greatst talentd legendary man kwny tasnia hii.shortly n Phenomenon myb ata aki-compte kwa rank ya dunia atafka mbali km sio kushnda tuzo Ya uchambuz
Acha kudanganya watu, Liki Abdallah ni mchumi kitaaluma na ana Phd , siyo aliitwa Dr kwa ajili ya mpira.
Nishamuona sana katika makongamano ya uchumi.