Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

Jamaa ni noma anamuelezea mchezaji hadi maisha yake ya kitaa yana Dr yupo vzur
 
Kaka mkubwa wengi walikuwa hawajakuja mzizima na wengi walikuwa wenyea nepi watoto wengi humu

Dr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'

Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....

Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'

Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?

Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
 
Sahihi kabisa mkuu,ila u Dr wake ni wa kusomea sio soka kaka,ni mchumi but i stand to be corrected.
 
Liki Abdallah yupo vizuri kihistoria ila kwa upande wangu kwa kizazi chetu cha sasa EDO Kumwembe na Jef Leah wapo vizuri
 
kuna wakati nilikua napenda kuangalia uchambuzi wake kuliko hata mechi yenyewe..

Walioanza kuangalia soka miaka hii hawamjui Dr Leaky.
 
Namheshimu sana huyu mzee hasa anapochambua mpira huwa najisikia poa sana hata wa Ubavu wangu alishawishika kuupenda mpira sababu ya huyu mzee
 
Dkt Leakey mbona wa kitambo sana mi nakumbuka enzi hizo niko shule ya msingi miaka ya 2000-2006 nilkuwa namuelewa sana ila hapa katikat akaanza kupotea ila habari nzuri n kwamba amerejea tena siwezi kuacha kumuangalia kwenye kipind chake

He is more than Analyst
 
Alex kashasha ni mwalimu wa michezo by professional. Hili halina ubishi.
Ni kweli Afsa.. Jamaa amesomea taaluma kabisa... Namvulia kofia kila nikisikiliza uchambuzi wake TBC TAIFA

Achana na shafii dauda mwenye mahaba na timu yake
 
Hata kipindi kile chanel wako kwenye ubora "DR" Leakey akiwa na kina Cliford Ndimbo wakichambua UEFA Chelsea vs Liverpool ya Rafael.ilikuwa raha sana kipindi hicho Chelsea hachomoi kwa Liverpool wababe wa Chelsea kwenye uefa
 
edo anatohoa makala za watu mtandaoni
Umesema sahihi kabsa.wachambuz wa cku izi n wajanjajanja tuu.uyo mzee ukimsikilza humchoki.yaani anajua historia ya team,wachezaj,mashabik, viongoz.anafahamu matukio na ufundi kwny mpira.ukimsikilza lazma ufurahi na akupe hamu ya kufatilia.
hawa wachambuz cku n vle wanepewa nafac isionekane kuwa taifa linawanyima nafac vijana.lakin Dr is the greatst talentd legendary man kwny tasnia hii.shortly n Phenomenon myb ata aki-compte kwa rank ya dunia atafka mbali km sio kushnda tuzo Ya uchambuz
 
Na utani kidogo..... Nampenda sana Dr Leakey
 
Acha kudanganya watu, Liki Abdallah ni mchumi kitaaluma na ana Phd , siyo aliitwa Dr kwa ajili ya mpira.

Nishamuona sana katika makongamano ya uchumi.

Labda hiyo PHD kaichukua after 96
watu waliokuwa wanapiga simu DTV akichambua mpira ndo walifananisha jina lake
la Liki ambali ni kifupi cha Malik....na Dr Leackey yule maarufu aliekuwa mvumbuzi wa vitu vya kale
kama binadamu wa kwanza huko Olduvai Gorge...

Ndio chanzo cha jina lake
 
Mi kwenye list yangu ya wachambuzi
1. Dr Leakey
2. Mwalim kashasha.
3. Eddo
Dah hawa watu ni burdani Sana.
 
Back
Top Bottom