kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,899
Ha ha ha ha ha, edo hana lolote zaidi ya porojo na kukosoa vitu bila solutions kama kawaida ya wabongo wengidr leacky mmoja ni sawa na eddo kumwembe 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha, edo hana lolote zaidi ya porojo na kukosoa vitu bila solutions kama kawaida ya wabongo wengidr leacky mmoja ni sawa na eddo kumwembe 21
Acha kudanganya watu, Liki Abdallah ni mchumi kitaaluma na ana Phd , siyo aliitwa Dr kwa ajili ya mpira.
Nishamuona sana katika makongamano ya uchumi.
Ndo mmeamua kumtenga dauda?
Labda hiyo PHD kaichukua after 96
watu waliokuwa wanapiga simu DTV akichambua mpira ndo walifananisha jina lake
la Liki ambali ni kifupi cha Malik....na Dr Leackey yule maarufu aliekuwa mvumbuzi wa vitu vya kale
kama binadamu wa kwanza huko Olduvai Gorge...
Ndio chanzo cha jina lake
Edo Kumwembe hamna kitu mkuu bora SHAFII DAUDA.Babu wa historia. Hakuna zaidi. Kwangu Mchambuzi makini wa soka hapa nchini kwa sasa ni Edo Kumwembe.
Hahaaaaaadr leacky mmoja ni sawa na eddo kumwembe 21
Wengine hawakuwa na luninga enzi hizo mkuu,wengi wameanza kumiliki luninga na visimbusi dtv ishapotea.walokuwa na tv miaka ya 90 mpaka early 2000 walikuwa wakuhesabika mtaani,hasa huku uswahiliniDr Leaky ndo alioanzisha hii kazi ya 'uchambuzi wa soka Tanzania'
Yeye ndie pioneer na mtu ambae hata wamama wasiopenda mpira wanafurahia kumtazama
akiongea kuhusu mpira.....
Watu walionza kutazama TV juzi ndo wanauliza 'eti kwa nini anaitwa Dr'
Kumbe wakati jina linaanza kule DTV enzi hizo hamkutazama?
Hakujiita yeye Mwenyewe....aliitwa na watu ..mashabiki wa mpira...
Heheh wewe ulichelewa kumjua aisee kuna mdau hapa anakwambia kaanza kumfuatilia kwenye kombe la 96,miaka kumi nyumaNamkubali sana. Nimeanza kumjua kombe la dunia 2006
Sio mwl kashasha mkuuBabu wa historia. Hakuna zaidi. Kwangu Mchambuzi makini wa soka hapa nchini kwa sasa ni Edo Kumwembe.
Mkuu 2006 akili yangu ndipo ilikuwa inaanza kutengamaaHeheh wewe ulichelewa kumjua aisee kuna mdau hapa anakwambia kaanza kumfuatilia kwenye kombe la 96,miaka kumi nyuma
Huyu Shafii ndio huwa sipendi hata kumsikilizaEdo Kumwembe hamna kitu mkuu bora SHAFII DAUDA.
DuhMkuu 2006 akili yangu ndipo ilikuwa inaanza kutengamaa
Umenikumbusha huyu Masoud Masoud, hichi kizazi kinahitaji sana kuwasikia na kujifunza kwao.Dr Leakey = soka
Masoud Masoud = music
Jamaa Hawa nawakubali sanaaa.
Nilianza kumcheki Dr Leakey kwenye Euro 96 yaani ilikuwa poa sana kuiangalia DTV enzi zile. Alimfanya Michuzi awe mpokeaji simu tu toka kwa callers.
Pia namkumbuka sana enzi zile za UEFA cup wakati Galatasaray ikiua timu moja hadi nyingine pale Ali Sami Eni stadium hadi wakaotwaa ndoo Ya UEfa cup. Enzi za Hakan Sukur na Arif Edem