Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

Hujamtendea haki Dr Leaky hao uliowataja bado sanaz!tafuta wa kumpambanisha naye.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
dokta leaky ni mwamba waoanajua soka nje ndani na akiwa anaongea anamvutia sana mtazamaji huwez ondoka wakati anaongea...eddo bado hajaiva vizuri ila anajitahidi ila shafii hamna kitu kiukweli inabidi ajipange awe mbunifu sio kutafsiri goal.com na bbc
 
Dr. Leakey
Anajua kuchambua mpira ndani na nje wa uwanja.

Anajua historia na matukio ya mchezo.

Amekuwa role model kwa wachambuzi wa sasa amewa inspire .

Tumpe heshima yake dr.
 
Tukumbushe aliongea nini?


ilikuwa ni halftyme wakati Simba walikuwa nyuma kwa goli 3-0 ndipo mtangazaji akawauliza yeye na Ally Mayay je nini Simba wakifanye kwa kipindi cha pili?

MAYAY...
Simba mpaka sasa wako katika hali tete, cha msingi hapa ni kocha acheze kamali kwa kujaribu kufika golini kwa Yanga nakufanya mashambulizi, ikumbukwe hili ni soka.
Pia nachoona mwalimu wa simba anatakiwa aingize wachezaji watakaoenda kushambulia...

KUMWEMBE:...
Mambo yameshawaendea Kombo simba.
Hapa cha kufanya nikutoa washambuliaji na kuingiza mabeki ili lile dhahma la goli 5 lisije wakuta.
 
Edo Kumwembe yuko juu hata makala zake ni za kiufundi, dr.Leakey ni mtoa historia tu ana bias na timu zake kama AC Milan au Germany, sio mchambuzi huru, shafii yaleyale anaongozwa na hisia zaidi.


wewe hio timu AC Milan imekujaje hapa tena?

Mbona ndugu yangu unataka kuchafua hali ya hewa...
 
Dr. Leaky enzi zile alikuwa anasoma mambo mtandaoni then anaonekana anajuuuua. Hawa wengine nao ndo wabachofanya karne hii. Hatuna wachambuzi wa soka
 
Dr. Leaky enzi zile alikuwa anasoma mambo mtandaoni then anaonekana anajuuuua. Hawa wengine nao ndo wabachofanya karne hii. Hatuna wachambuzi wa soka

No research no right to speak
Dr. Leakey anafanya tafiti , anatafuta takwimu mbalimbali .

Tofauti na wachambuzi wa sasa wanao angalia kwny tv ndo wanachambua au wanasubir kusoma magazeti yasiyo na undan wa habari.
 
wewe hio timu AC Milan imekujaje hapa tena?

Mbona ndugu yangu unataka kuchafua hali ya hewa...
hahahaha! Kuchafua hali ya hewa tena kivipi? hizi ndo timu za dr Leakey, kama timu yako Arsenal siku ikicheza na AC Milan na mchambuzi akawa dr, Leakey studio, mbona utaipatapata!! Atawafagilia waitaliano mpaka kichefuchefu
 
Dr.Leakey yupo juu sana kwa wale ambao wanamfahamu huyu jamaa wakati yupo kwenye kaz wala hawatapingana na mimi, hao wengine ni majanga tu! shaffih dauda yeye ni mjuzi katika kutengeneza majungu.....
 
hahahaha! Kuchafua hali ya hewa tena kivipi? hizi ndo timu za dr Leakey, kama timu yako Arsenal siku ikicheza na AC Milan na mchambuzi akawa dr, Leakey studio, mbona utaipatapata!! Atawafagilia waitaliano mpaka kichefuchefu

Doctor leakey ni proffesinal kwny uchambuz namkubali sana
 
doctor leakey mzuri,kama kitu hajui,hachangii,shafii nakumbuka madrid wameshinda uefa cl akaropoka kitu kuhusu ronaldo alipomkumbatia rafiki yake wa zamani,nilimtoa kwenye list siku hiyo hiyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…