Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

wote hawajui kuchambua mpira na kuelza kwa nini hiki au kile kimetokea katika dakika tisini. kuna msemo wa kiingereza " blessed is he who understands the causes of things" sasa tatizo lao wao hawaelezi nii haswa kinatokea katika zile dakika 90 na KWA NINI...yule ambaye anaweza kueleza kwa nini ndio mchambuzi lakini sijaona lolote.

Koment ya maana kuliko zote kwenye huu uzi. Leaky alikuja kipindi ambacho utafutaji wa taarifa na rekodi ulikuwa mgumu sana, kwa hiyo akaonekana yuko nondo jumlisha na kumbukumbu zake murua za matukio ya soka duniani.

Kina Edo wanaonekana wababaishaji kwa kuwa taarifa zote ziko mitandaoni na kila mtu anaweza kuzipata hivyo jamaa wanaonekana copy and paste.

Binafsi simkubali yoyote, hasa kwa kuwa wengi ni wajuaji, mtu anataka ajadili siasa za soka, mambo ya kiufundi, vituko vya mashabiki... Yaani waliomakinika kwenye ufundi pekee i.e wanaochambua kilichotokea kwenye ndimu ni kama akina Mwalimu Kashasha, Ally Mayay na bwana mmoja wa kuitwa Denis Kitambi kabla hajawa kocha wa kufukuzwa na timu aliyoipandisha daraja.
 
Sawa lakini kwa hali ya sasa uchambuzi unahitaji mbwembwe kumvutia mtazamaj au msikilizaji na sio porojo tu
 
Sawa lakini kwa hali ya sasa uchambuzi unahitaji mbwembwe kumvutia mtazamaj au msikilizaji na sio porojo tu
Maamuma wa soka na wanaobeti ndio wanahitaji mbwembwe, kama unalifahamu soka wala huhitaji hizo nakshi zao... Ndio maana huko mamtoni wanachukua watu waliocheza soka au makocha, sio watanashati wenye swaga!
 
hahahaha! Kuchafua hali ya hewa tena kivipi? hizi ndo timu za dr Leakey, kama timu yako Arsenal siku ikicheza na AC Milan na mchambuzi akawa dr, Leakey studio, mbona utaipatapata!! Atawafagilia waitaliano mpaka kichefuchefu

mkuu upo sahihi yeye ni ac milam,madrid na buyern kama ww ni timu zingine hapo umeumia.
 
Kashasha anachambua mpira kitaalam zaidi kuliko wote uliowataja hapo juu
 
kiukwel kaka hata mimi Edo anankosha sana,na ndio maana sishangai kumuona akiwa amesaini mkataba na Azam Tv!
edo ni mzuri kwenye kuchambua ila yeye huwa anabase kwenye critics sana
 
Dr. Ndio kila kitu hao wengine wakisikia BBC imetangaza nao ndio wanatangaza
 
Back
Top Bottom