Dr Lwaitama: Halafu Kuna Watu wananunua Makaratasi ya Yericko eti ni Vitabu. Kama anadanganya mambo mnayoyajua itakuwaje hayo ya Ukraine msiyoyajua!

Dr Lwaitama: Halafu Kuna Watu wananunua Makaratasi ya Yericko eti ni Vitabu. Kama anadanganya mambo mnayoyajua itakuwaje hayo ya Ukraine msiyoyajua!

Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema

Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu

Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂

Mlale unono
Kucheka ni Jambo jema teh yeh aaaaah aise kwa kwa kwaaaa
Mamaaae nshomileeey 😀 😀 😀😀
 
Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema

Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu

Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂

Mlale unono
🤣 🤣 🤣
 
Kuhusu vitabu vyake mi nilishasema tangu zamani. Ukiwa na akili Yako timamu ukasoma Kwa utulivu kabisa.

Haya ndo utakayo kugundua kwenye vitabu vile hasa Cha UJASUSI nilichowahi soma sema sikumaliza maana sipendi kabisa uongo na nikigundua napoteza muda wangu Kwa kudanganywa Huwa naacha mara Moja......
1. Jamaa kasimuliwa tu story fln fln
2. Maneno mengi kaokotaokota na kukopi then past
3.Uongo mwingi sana mle umejaa akaongeza chumvi Hadi anakera.

Yericko Nyerere katika wajinga wote mafala wote,Matahira wote na wapumbavu wote huyu jamaa ana kula kichwa.
 
Lakini mpenzi, kwani Yericko kuna cha maana huwa anaandika? Mie huwa naona hata ni kukosa ya kufanya kumuongelea, ni mtu asiyefaa hata kuupata muda wako.
Huyu hawezi fika hata nusu ya mzee wa kazi Habib Anga a.k.a official robot a..k.a the bold kwenye uandishi wa makala na vitabu
 
Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema

Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu

Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂

Mlale unono
Kwani kuna ubaya gani tukinunua kwa kazi ya kuchambia chooni
 
Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba 😃😃
Riwaya za Willy Gamba zina mpangilio mzuri wa maandishi na matukio. Ninazo, nimezisoma.
Nilienda kwa ndugu yangu nikakuta anacho kitabu cha Yeriko Nyerere cha Ujasusi, basi nikaazima niende kukisoma. Daaah nilishindwa asee. Uandishi mbaya, yaani sentence moja inaeleza matukio matatu. Nikaenda nyuma ya kitabu nione Wahariri ni kina nani. Nashangaa kuna Mtanzania anaishi Marekani huwa anahojiwa sana na BBC, nikajiuliza kama kweli alipata kukisoma ule muswada wa kitabu.
 
Kama mjambiani mpumbavu kapewa phd za kuchambia kwa dhamana ya bandari zetu kwanini tusiamini kuwa huyo ni DR
wewe hata hata ukimpima na ukimtizama vizuri huyo Lwaitama kweli ni Dr?

Dr gani ako vile gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom