Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
mmmh tabralasaNi daktari kuliko hata akina Mwigulu na Jafo na Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh tabralasaNi daktari kuliko hata akina Mwigulu na Jafo na Samia
Yep huyo gwiji wa Kiingereza kama sikosei.Unazungumzia Mwalimu Azaveri Lwaitama "Baba Emma" au mwingine!!??
Kucheka ni Jambo jema teh yeh aaaaah aise kwa kwa kwaaaaYeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂
Mlale unono
DuuuuuuuYeriko nyerere ID nyingine anayotumia ni lukas Mwashambwa
🤣 🤣 🤣Yeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂
Mlale unono
Hii imefunga chapter na mwaka 2024🤣😆Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Huwa sielewi kuna Mbunge mmoja alisikika akimsifia ati apewe Masters degreeUkweli lazima usemwe,Yericko Nyerere ni tapeli tu.
Ameupiga mzinga wake wa nyuki kwa manati waache nyuki wamfundishe adabuHuyu jamaa amejiharibia Sana .
😂😂😂😂Ameupiga mzinga wake wa nyuki kwa manati waache nyuki wamfundishe adabu
Huyu hawezi fika hata nusu ya mzee wa kazi Habib Anga a.k.a official robot a..k.a the bold kwenye uandishi wa makala na vitabuLakini mpenzi, kwani Yericko kuna cha maana huwa anaandika? Mie huwa naona hata ni kukosa ya kufanya kumuongelea, ni mtu asiyefaa hata kuupata muda wako.
Kwani kuna ubaya gani tukinunua kwa kazi ya kuchambia chooniYeriko Nyerere asipokuwa mwangalifu biashara yake ya majarida itakufa na Chadema
Sasa Msomi nguli anashangaa watu kununua Makaratasi ya Yeriko Nyerere eti ni Vitabu
Ila Wahaya Wana dharau sana duh 😂😂😂😂
Mlale unono
Kama mjambiani mpumbavu kapewa phd za kuchambia kwa dhamana ya bandari zetu kwanini tusiamini kuwa huyo ni DReti kuna watu wanaamini Lwaitama ni Dr.🐒
Uwe mwangalifu na wino alioutumia maana Yeriko Nyerere anaweza Kuwa kaukoleza na pilipili 😂Kwa
Ni kuna ubaya yani tukinunua kwa kazi ya kuchambia chooni
Riwaya za Willy Gamba zina mpangilio mzuri wa maandishi na matukio. Ninazo, nimezisoma.Anaandika Vitabu vya mambo ya Ujasusi kama Elvis Musiba enzi za Willy Gamba 😃😃
wewe hata hata ukimpima na ukimtizama vizuri huyo Lwaitama kweli ni Dr?Kama mjambiani mpumbavu kapewa phd za kuchambia kwa dhamana ya bandari zetu kwanini tusiamini kuwa huyo ni DR