Dr. Magufuli, Mungu anakuona

Dikteta na mvuruga amani anaomba aombewe...........................
 
Kila anachokifanya akumbuke Mungu anamwona
 
Mbolea ya ruzuku ilikuwa inawafikia wakulima kwa asilimia ngapi kama si nyinyi hao hao mlikuwa mnaipiga juu kwa juu? Acha watu aafanye kazi. Ni wakati wa kutafuta njia sahihi ili msituibie tena.
 
Kuna wafanyakazi tunapiga kazi lakini tuko kwenye orodha ya watumishi hewa...
No salary, maisha magumu..............!!!!!!!!!
Mungu anakuonaaa
 
Mbolea ya ruzuku ilikuwa inawafikia wakulima kwa asilimia ngapi kama si nyinyi hao hao mlikuwa mnaipiga juu kwa juu? Acha watu aafanye kazi. Ni wakati wa kutafuta njia sahihi ili msituibie tena.
Sasa kufuta mbolea ya Ruzuku ndio unamsaidia Mkulima mnyonge kwa nini asiboreshe mfumo?
 
tanzania uchumi unakuwa kwa kasi sana hasa ukanda wa afrika mashariki.

ngoja tuzidi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…