Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Dikteta na mvuruga amani anaomba aombewe...........................Vijana tumesoma ajira umeamua kuzuia Mungu anakuona. Dr. Magufuli wafanyakazi tunafanya kazi mishahara umezuia isipande Mungu anakuona.
Wakulima mpaka sasa hivi umeondoa mbolea ya ruzuku Mungu anakuona. Dr Magufuli maisha ni magumu kwa sababu umezuaia pesa ya Serikali isipitishiwe kwenye Commercial Bank Mungu anakuona.