Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Maana ITV hawakumuonyesha!

Nauliza tu! Kisha naendelea na yangu!:fencing:
 
Hii kitu imekaaje mkuu...kama kuna unalolijua tueleze maana kuna tetesi kuwa anaumwa? Jamani kuugua ni jambo la kawaida kwa binadamu, wasifiche kiasi hicho!
 
Press ya jana jamaa alikua anafanya vikao na wataalam wake,leo tunaambiwa alikua mapumziko!
 
Rais huyo,kapumnzika siku moja tu,wananchi wake tayari wakaanza kummiss.
Ni siku moja au mbili? Halafu asubuhi hii mbona hiyo picha inang'aa sana kama vile mchana? Au hapo ni Nairobi?
 
Ngoja nihesabu watu kwenye huo mkutano...moja, mbili, ......, kumi na nne, ...., sitini na sita....., mia tatu sabini na mbili.

(Yes 372).
 
Mbona nasikia hata kuongea hawezi? Mwaka huu mtapukutika kweli

Laana za watanzania zitawamaliza.....
 
hiv hio hela ccm waliyotumia kununulia hizo kofia na t shirt si wangewalipa walimu stahiki zao!!!!!
aibu kubwa hiii
 
Maana ITV hawakumuonyesha!

Nauliza tu! Kisha naendelea na yangu!:fencing:

Jana na juzi alikuwa kwenye kikao cha kupanga lile ya jopo la wataalamu wa kuangalia maeneo ya kufanyia kazi mara atakapoapishwa.Alikuwa kwenye vikao vya ndani.

Kwa hiyo waweza kusema alikuwa mapumziko ya kampeni lakini siyo kikazi.Sababu yeye muda wote ni kazi tu.
 
Ni siku moja au mbili? Halafu asubuhi hii mbona hiyo picha inang'aa sana kama vile mchana? Au hapo ni Nairobi?
Shauli yenu,Amini usiamini Rais Magufuli yupo Nachingwea akiomba kura kwa wananchi wake ili awatumikie
 
Hana jipya kwetu watu wa kusin,ameshindwa kutufnyia aliyekuwa rais wa awamu ya tatu mzawa wa hkuhku itakuwa huyo ma alcohol +masolex
 
Tinga Tinga liko uwanjani ...wanaosema na waseme sisi hatujali....nalimiss sana hili singeli!!!
 
Asubui hii Nachingwea kuna jua kali kaisi hicho?...... Vijana wa UVCCM vilaza kweli, saizi nimeelewa kwa nini January Makamba aliwatosa wote na kuwapiga biti wasikanyage Masaki IT centre

Mnufaika wa mafisadi mwakahuu Vibaka Ltd haigawi dividends...Zinduka
 
Back
Top Bottom