Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Kwa mtu mwenye akili sawa chaguo ni john pombe sababu ni mchapakazi, tumeona jinsi alivyo piga kazi kwenye wizara zake, yule jamaa amekua waziri mkuu kwa miaka miwili na nusu ameshindwa kufanya chochote cha maana, kama ni muda mfupi mbona lukuvi amekaa muda mfupi ila kazi yake ya maana inaonekana, jamaa hatufai kabsa
 
Asubui hii Nachingwea kuna jua kali kaisi hicho?...... Vijana wa UVCCM vilaza kweli, saizi nimeelewa kwa nini January Makamba aliwatosa wote na kuwapiga biti wasikanyage Masaki IT centre

mtaumbuka sana mwaka huu kwa tupropaganda twakitoto.
kama unabishi chukua simu piga moja kwa moja huko uulize kuna nini kinaendelea.

mgombea wenu hakubaliki isipokuwa kwa waendesha bodaboda. na hao ndio wepesi kufanywa wajinga
 
Hapa kazi tu wataisoma namba magufuli mbele kwa mbele.
 
Nimemuona anayebisha chizi siyo bure.

Ukibishana na ma ukiwa utapoteza muda bure menzio yanalipwa na fisadi yapo kazini ww unaumiza kichwa bure. Acha yaendelee na mtetemo wao kioo cha ufisadi tanzania.
 
Hapa kazi tu wataisoma namba magufuli mbele kwa mbele.

Mpaka akina Lembeli wanamfuatilia Magufuli na walimmiss kwa siku mbili hizi

12107224_1069414479769447_302283287231853004_n.jpg
 
Hapana, fulana, kapelo, kanga na bila kusahau sadaka zilichelewa kufikishwa kwenye maeneo. Si mnajuwa miundombinu ya barabara ilivyo huko kusini??

Hamna bhna si dimond hakuepo?ndo maana jamaa akavuta handbreak ili kumsubiri arudi toka kwenye tuzo sijui za nn
 
Nilisikia amejitoa na kumuunga mkono Lowasa imekuwaje tena?
 
Wataipenda muambieni Dr lowassa ndio rais wake ang'atuke huko lowassa atamuachia wizara yake ya miundombinu
 
Back
Top Bottom