Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

Safi sana. actual mafuriko sio mafuriko ya photo shop.
 
Ukawa walisha mmiss ; chezea mchakamchaka;

kusini ; amwafikia ................................
 
Kapumzika siku moja BAVICHA mapovu juu na vi thread vya ajabu ajabu humu
 
Formalities:violin:
Kweli eenh? Mlizoea ufisadi kwenye kila nyanja, mnatangaza nafasi za kazi kumbe tayari watu wameshaajiriwa. Mwaka huu hizo formalities zitaishia kwenye vikao vyenu vya Kamati Kuu ambapo Mwenyekiti wenu alikuja na majina ya wagombea wake mfukoni na nyie mkamkubalia bila ya kuuliza. Ukondoo huo hamjamuambukiza mtu mwingine yeyote zaidi ya nyie wenyewe!!
 
Kweli eenh? Kama ni Rais kwa nini bado anahangaika kuomba kura mpaka na Push ups anapiga? Watu tuache kuu-miss umeme tum-miss Magufuli, wewe wa wapi!!
Jana kauliziwa sana humu kaka,hapo anaomba kura ili kudhibitisha ushindi na kuwaonyesha watanzania kweli yupo fit kiakili na kimwili pia kuwatumikia watanzania,
 
Kweli eenh? Mlizoea ufisadi kwenye kila nyanja, mnatangaza nafasi za kazi kumbe tayari watu wameshaajiriwa. Mwaka huu hizo formalities zitaishia kwenye vikao vyenu vya Kamati Kuu ambapo Mwenyekiti wenu alikuja na majina ya wagombea wake mfukoni na nyie mkamkubalia bila ya kuuliza. Ukondoo huo hamjamuambukiza mtu mwingine yeyote zaidi ya nyie wenyewe!!

Merry x'mas!
 
Jana kauliziwa sana humu kaka,hapo anaomba kura ili kudhibitisha ushindi na kuwaonyesha watanzania kweli yupo fit kiakili na kimwili pia kuwatumikia watanzania,
Safi sana! Waliokuwa wanamuulizia walikuwa wanamuulizia wakiwa na bashasha au kauli zao zilijaa kejeli?
 
Back
Top Bottom