TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 936
Ni siku moja au mbili? Halafu asubuhi hii mbona hiyo picha inang'aa sana kama vile mchana? Au hapo ni Nairobi?Rais huyo,kapumnzika siku moja tu,wananchi wake tayari wakaanza kummiss.
Hapa tunsema ni kazi tu
Hapa tunsema ni kazi tu
Maana ITV hawakumuonyesha!
Nauliza tu! Kisha naendelea na yangu!:fencing:
Nnpo nachingwea,
hakuna cha Masolex wala maalucohol,
tuambieni yuko wapi?
Shauli yenu,Amini usiamini Rais Magufuli yupo Nachingwea akiomba kura kwa wananchi wake ili awatumikieNi siku moja au mbili? Halafu asubuhi hii mbona hiyo picha inang'aa sana kama vile mchana? Au hapo ni Nairobi?
Kweli eenh? Kama ni Rais kwa nini bado anahangaika kuomba kura mpaka na Push ups anapiga? Watu tuache kuu-miss umeme tum-miss Magufuli, wewe wa wapi!!Rais huyo,kapumnzika siku moja tu,wananchi wake tayari wakaanza kummiss.
Asubui hii Nachingwea kuna jua kali kaisi hicho?...... Vijana wa UVCCM vilaza kweli, saizi nimeelewa kwa nini January Makamba aliwatosa wote na kuwapiga biti wasikanyage Masaki IT centre