Elections 2015 Dr. Magufuli ndani ya Nachingwea,Mtama na Ruangwa - Oktoba 12, 2015

@NAPE mbona umechoka hivyo? unawaza kumwagwa na wananchi? ,onyesha furaha hatakama utakatwa na wananchi maana ni zamu yako kukatwa na jana DC kakumaliza kuwa unapeleka fujo huko ingawa huna mke wala mtoto anayeishi huko.
 
Wale wote wa udini, ukabila, ukanda, hutusi, na muendelezo wa ufisadi, wapenda Madaraka, wote mnatakiwa ukawa

Hapa kazi tu ushindi niwetu
 
Wale wote wa udini, ukabila, ukanda, hutusi, na muendelezo wa ufisadi, wapenda Madaraka, wote mnatakiwa ukawa

Hapa kazi tu ushindi niwetu

Madaraka ni ajira kama zilivyo ajira nyingine
 


Habari ya EL alipokuwa Mtama ndiyo hii.
 
[h=3] [/h]










Wananchi wa Nachingwea Lindi wakimshangilia Mgomea wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kwa ticketi ya Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Dr. John P.J. Magufuli.wakati akihutubia wananchi katika Viwanja vya Sokoine leo asubuhi.
 
vp hawakwenda na FIESTA NINI? MBONA WATU KIDUCHU SANA... au malori ya kusafirisha watu yalikosekana?
 
Du kama konakry,aisee tutaisoma namba kweli,hiyo nyomi haikaribii hata wale waliokuwa wakideki barabara Kule mwanza,ukichanganya na wanaomsubiri uwanjani piiipooooooo
 
Hao ndio watu halisi kwenye mikutano ya CCM
 
b

Betri ziliisha chaji ikabidi akimbizwe Nairobi, shenzy type wote tunaumwa tuchunge midomo yetu! Kuna picha moya hapo jamaa lina manyonyo utafikri jike!
 
Kama si uchovu basi anaumwa. Dr. Magufuli wa leo katika mkutano wa Mpilipili,Lindi si yule anayejulikana. Hata sauti yake si ile.

Kama amechoka,apewe muda wa kupumzika;kama anaumwa atibiwe. Dr. Magufuli leo anaogopa kuhutubia kwa muda mrefu!? Anatamani upigwe mziki. Si kawaida. Kuna jambo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Reactions: MTK
Halaf mgonjwa anatoboa tu. Tutajua tu nani mgonjwa na nani mzima
 
Reactions: MTK
Hapana Magufuli; M-CCM hawezi kuumwa bhana wacha utani!! tunaoumwa ni sisi huku UKAWA?!


 

Hiyo ni kweli,nimeona hilo jimbo Mtama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…