zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Atoa siku 7 asema waliohusika kuumbuka vibaya.
Ufufuo manyau nyau.
Ufufuo manyau nyau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
ahahahahahaaaaaaaaaaaa_yaani manyaunyau ni dubu dubu dubumanyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
kwa nini kila kitu cha dogo ni 7,
baba naye alisema ataongea baada ya siku 7,
kufa saa 7,
mmmmmh, ngoja tuone, kwani ni nani asiyependa
hata mfu wake afufuke. na kama ni mbwembwe za manyaunyau inabidi ale kichapo cha mbwa mwizi.
Huwa nawashangaa sana watu wanaoamini mambo haya! Wajinga ndo waliwao
Haya sasa_ngoja nimuwahi manyaunyau nikaweke order ili siku nikifa anifufue,..lakn asibiri mpaka siku 7 zifike,...yaani iwe kabla ya kuzikwa.
mlikua mnakimbia riadha.manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
ha ha ha ha! umenichekesha sana na wewe ni msaidizi wake nini? maana ulivyokimbia naye da poleni sana
huyo manyaunyau kama ni hodari amfufue Nyerere kwanza aje aone nchi ilivyoharibika