Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

kwa nini kila kitu cha dogo ni 7,
baba naye alisema ataongea baada ya siku 7,
kufa saa 7,

mmmmmh, ngoja tuone, kwani ni nani asiyependa
hata mfu wake afufuke. na kama ni mbwembwe za manyaunyau inabidi ale kichapo cha mbwa mwizi.
 
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
 
ha ha ha ha! umenichekesha sana na wewe ni msaidizi wake nini? maana ulivyokimbia naye da poleni sana
 
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
ahahahahahaaaaaaaaaaaa_yaani manyaunyau ni dubu dubu dubu
 
kwa nini kila kitu cha dogo ni 7,
baba naye alisema ataongea baada ya siku 7,
kufa saa 7,

mmmmmh, ngoja tuone, kwani ni nani asiyependa
hata mfu wake afufuke. na kama ni mbwembwe za manyaunyau inabidi ale kichapo cha mbwa mwizi.

Haya sasa_ngoja nimuwahi manyaunyau nikaweke order ili siku nikifa anifufue,..lakn asibiri mpaka siku 7 zifike,...yaani iwe kabla ya kuzikwa.
 
na kama huko ni kuzuri zaidi ya hapa je
si utakuwa umeumbuka wa kumwitu,

Haya sasa_ngoja nimuwahi manyaunyau nikaweke order ili siku nikifa anifufue,..lakn asibiri mpaka siku 7 zifike,...yaani iwe kabla ya kuzikwa.
 
manyaunyau anatisha. pale mwananyamala alifukuza mchawi mchana kutoka pale kwa bi zakalia ndani kwa ndani hadi kwa mtogole watu kibao wanamfuata akanyosha hadi manzese huku ameshikilia paka mdomoni na vijana wake wakipiga ngoma, akanyonya hadi mabibo ndani kwa ndani hiyo mi nikaunga tela, tukaibukia external tukapita makuburi tukatelemka tukapanda tukaibukia kimanga, akadaka paka mwingine kanyonya damu, tukaenda hadi tabata visiwani hadi tabata bima hiyo ishafika saa 12 jioni....
mlikua mnakimbia riadha.
 
Dr Manyau Nyau unatafuta umaarufu tu huna lolote!!

Kama unaweza we mtoe tu sio mpaka upige makelele meeengii halafu action hakuna.
 
huyo manyaunyau kama ni hodari amfufue Nyerere kwanza aje aone nchi ilivyoharibika

hawezi chochote huyo ameona anasahaulika anatafuta kurudisha jina kwenye kifo cha mwenzake na style yake ya kunywa damu ya paka , mhh sijui kama anamkiss mke wake.
 
Back
Top Bottom