sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Miaka michache iliyopita rafiki yangu alinipa stori moja ambavyo alipata kazi kutoka kwenye kampuni moja ya kudai madeni. Kampuni hiyo ipo Selander jijini DSM.
Mteja wa kwanza jamaa yangu kupewa alikuwa marehemu Dr. Masaburi na wenzake walikopa pesa nyingi sana kwenye Benki ya Twiga na mkopo huo ulikuwa mgumu kulipika baada ya Mh kukopa na kuingiza kwenye mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza dawa za ARV (mkuu huyu na wenzake walilenga kutengeneza kiwanda cha kutenegezea dawa feki, za ARV nadhani ili sio geni wakuu wa jf)
Rafiki yangu alipata shida sana maana mkuu huyu hakuwa mwepesi wa kuongea. Jamaa yangu alivyomfata jamaa, alimuunganisha na mkewe. Mke wa Dr. alikuwa mpiga sound mkubwa yani ukienda kudai huwezi choka aisee anakupiga sound mpaka unasahau kudai deni.
Mwishowe jamaa yangu ilipigwa simu kutoka juu ikitaka wabadilishiwe mdai wa madeni maana jamaa yangu baada ya kupigwa saound alikuwa king'ang'anizi sana hakukubali kabisaaa. Mwishowe jamaa yangu alipigwa chini na kampuni ile na sasa jana tulikutana na akawa ananiambia hajui kama deni lile lililipwa.
Kwanini wanaJF sio wazalendo? Tunajua kuwa hii benki ilikopesha wanasiasa na tunaishi nao mitaaani. Sasa imefungwa, kwanini hatutajani kuisadia serikali?
Mkuu wa kaya naomba ulinzi wako, ntakueletea orodha ya wadaiwa wa benki hii kupitia hapa.
Mimi spendi kuja kuja hapo kwa Greyson!