Tetesi: Dr. Masaburi alishiriki kuifilisi Twiga Bancorp

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Miaka michache iliyopita rafiki yangu alinipa stori moja ambavyo alipata kazi kutoka kwenye kampuni moja ya kudai madeni. Kampuni hiyo ipo Selander jijini DSM.

Mteja wa kwanza jamaa yangu kupewa alikuwa marehemu Dr. Masaburi na wenzake walikopa pesa nyingi sana kwenye Benki ya Twiga na mkopo huo ulikuwa mgumu kulipika baada ya Mh kukopa na kuingiza kwenye mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza dawa za ARV (mkuu huyu na wenzake walilenga kutengeneza kiwanda cha kutenegezea dawa feki, za ARV nadhani ili sio geni wakuu wa jf)

Rafiki yangu alipata shida sana maana mkuu huyu hakuwa mwepesi wa kuongea. Jamaa yangu alivyomfata jamaa, alimuunganisha na mkewe. Mke wa Dr. alikuwa mpiga sound mkubwa yani ukienda kudai huwezi choka aisee anakupiga sound mpaka unasahau kudai deni.

Mwishowe jamaa yangu ilipigwa simu kutoka juu ikitaka wabadilishiwe mdai wa madeni maana jamaa yangu baada ya kupigwa saound alikuwa king'ang'anizi sana hakukubali kabisaaa. Mwishowe jamaa yangu alipigwa chini na kampuni ile na sasa jana tulikutana na akawa ananiambia hajui kama deni lile lililipwa.

Kwanini wanaJF sio wazalendo? Tunajua kuwa hii benki ilikopesha wanasiasa na tunaishi nao mitaaani. Sasa imefungwa, kwanini hatutajani kuisadia serikali?

Mkuu wa kaya naomba ulinzi wako, ntakueletea orodha ya wadaiwa wa benki hii kupitia hapa.

Mimi spendi kuja kuja hapo kwa Greyson!
 
Weka mkuu tuwajue wooooooote kweli wewe ni shujaa wa mwaka kama mayalla muuliza maswali MAGUMU.
 
Naomba maombi yenu, ila mkuu wa kaya naomba ulinzi wako, TWIGA benk, B.O.T ikileta majina ya walalhoi mimi ntawataja tu au tena ccm wengi, yani uwongo mbaya wanao ongoza kwa kukopa ni ccm na walikopa fedha kwa ajili ya kufanyia vitu vya hovyo mfano nimeutoa hapo juu, najua huyu ameisha kufa ila bima haiwez kulipa madeni hayo maana walisha vunja mkataba. kinachotakiwa kifanyike ni kufilisi mali za MASABURI.
 
I pray you do the right thing for your country
 
Taja Majina ya waliokopa na kuifilisi Twiga.
 
kAKA hatuwezi fanya hivyo mapema, ila jambo la msingi tunawaoma B.O.T WASIJE kutuletea majina ya akina mama ntilie kuwa walikopa na kufilisi BENKI, ukweli ni kuwa wapo vigogo km raisi alivyosema.
pili sina chuki na ccm ilasjui kuwa mwanaccm kilikuwa kigezo cha kupata mkopo pale? ile BODI inatakiwa ishirikiliwe mali zake
 
Mkuu Umeanza vyema , kama una nia ya dhati usirudi nyuma
 
...hujui kama deni lilishalipwa,lakini umehukumu tayari!
..anyway,mianasiasa iliyokopa ipo mingi;
..afu ina kelele kweli utafikiri they are so clean!
.unawajua?
 
hapo ndipo nilipopata maana mtajitokeza kutuambia ukweli km limelipwa au la? km limelipwa je pernat zimelipwa na kiasi gani? katika ili hata kama htupo nae lazima tukomae kama hakija lipwa kitu aise mjiandae kulipa dseni vinginevyo tunababua kichuo kile. maana huo mkopo uliingizwa kwenye mladi haramu sana, yani kutengezezea ARV feki?
 
Hela za chopa za ngosha wakati wa kampeni zilitoka wapi ? Tuanzie hapo.
 
twende na hoja ushatumwa kututoa kwenye mstari umtoi mtu hapa nakomaa mpaka kieleweke, kama vipi fungua uzi wako unao gusia hayo marunye runye.!
 
asante
Wanasiasa ni wakopaji hatari sana kwa mabenki. Mabenki yanajua ila kwa vimemo kutoka CCM basi mabenki yanasalimu amri
bujibuji! wewe u mkweli unae staili kuusema ukweli, hapa najua nyumbu wa lumumba wanajiandaa kutuvaa ila kwa ili waje wabishe, ntamwaga unga hapa ili tuheshimiane aiwezekani bhana nchi inaliwa na mijitu mimoja! kisa chama ccm?
 
Nani akutoe kwenye hoja ? Hilo lilikua pia adidu za rejea zinazoweza kutumia Ili ufikie malengo yako as far as umetaja wanasiasa .

twende na hoja ushatumwa kututoa kwenye mstari umtoi mtu hapa nakomaa mpaka kieleweke, kama vipi fungua uzi wako unao gusia hayo marunye runye.!
 
ARV alikua Mhe. Madabiba lkn huyo the Late sijui kama alikua member.
 
Miaka michache iliyopita rafiki yangu alinipa stori moja ambavyo alipata kazi kutoka kwenye kampuni moja ya kudai madeni. Kampuni hiyo ipo Selander jijini DSM.

Mteja wa kwanza jamaa yangu kupewa alikuwa marehemu Dr. Masaburi na wenzake walikopa pesa nyingi sana kwenye Benki ya Twiga na mkopo huo ulikuwa mgumu kulipika baada ya Mh kukopa na kuingiza kwenye mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza dawa za ARV (mkuu huyu na wenzake walilenga kutengeneza kiwanda cha kutenegezea dawa feki, za ARV nadhani ili sio geni wakuu wa jf)

Rafiki yangu alipata shida sana maana mkuu huyu hakuwa mwepesi wa kuongea. Jamaa yangu alivyomfata jamaa, alimuunganisha na mkewe. Mke wa Dr. alikuwa mpiga sound mkubwa yani ukienda kudai huwezi choka aisee anakupiga sound mpaka unasahau kudai deni.

Mwishowe jamaa yangu ilipigwa simu kutoka juu ikitaka wabadilishiwe mdai wa madeni maana jamaa yangu baada ya kupigwa saound alikuwa king'ang'anizi sana hakukubali kabisaaa. Mwishowe jamaa yangu alipigwa chini na kampuni ile na sasa jana tulikutana na akawa ananiambia hajui kama deni lile lililipwa.

Kwanini wanaJF sio wazalendo? Tunajua kuwa hii benki ilikopesha wanasiasa na tunaishi nao mitaaani. Sasa imefungwa, kwanini hatutajani kuisadia serikali?

Mkuu wa kaya naomba ulinzi wako, ntakueletea orodha ya wadaiwa wa benki hii kupitia hapa.

Mimi spendi kuja kuja hapo kwa Greyson!
Hata hiyo serikali yako inawajua hao wadaiwa sugu, unataka kuniambia kuwa kuna mtu anakopa bila taarifa!?
 
Back
Top Bottom