Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Niko na wewe katika hili mkuu Field Marshall ES.
Lakini ni muhimu kuelezea zaidi kidogo kwa ajili ya kuelezea na wengine waelewe kwa nini Mahanga ameenda mahakamani na sio TCU.
Mwenye kitabu chake amesema Mahanga ameghusi shahada yake ya udaktari wa falsafa.... kwa maana nyingine amesema Mahanga amefanya kosa la JINAI.
Kitu ambacho kingemfanya Mahanga kwenda TCU ni kama mwenye kitabu chake angesema Mahanga ana shahada ya udaktari ambayo haitambuliki hama nchini (un-acredited PHD in Tanzania)....
Kwa hiyo ni muhimu muelewe kwamba hii kesi ni rahisi sana, na kwa sheria za nchi mwenye wajibu wa kuthibitisha ni anayetuhumu sio mtuhumiwa... sasa mwenye kitabu chake ndiye akipenda aenda TCU na kukote kule... lakini sio Mahanga.
Na Mahanga akipata tu barua kutoka chuo chake kwamba naam amesoma chuo hiki xyz na ni mhitimu wao shahada ya udakari wa falsafa, kesi itakuwa imeisha.
Haya ndio madhara ya ku-think locally and ku-act locally!
LOL!
Kwa kifupi kuwa na Phd isiyotoka kwenye an accredited instituion na ukaiwakilisha kama vile ni accredited basi Phd hiyo ni feki chini ya taratibu hizo,ni kwamba haikubaliki....lack of authencity.
.
Lakini mkuu, chuo kikiwa accredited USA lazima kiwe accredited Tanzania? au kikiwa unaccredited USA lazima sisi nasi tuseme ni unaccredited?
au chuo kikiwa ccredited Tz lazima USA wakikubali?
Mahanga atashinda kwa sababu sisi hatuna decribed standard yetu kama sisi. na hii ndio imeweka loophole ya watu kufanya wanavyotaka